KATIBA MPYA: MAWAZIRI & RCs WASIWE WABUNGE TENA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KATIBA MPYA: MAWAZIRI & RCs WASIWE WABUNGE TENA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Nov 21, 2011.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Well, Katiba mpya and Katiba mpya wakati umefika wa kuondokana na Mawaziri kuwa Wabunge na pia Ma-RC wasiingie bungeni, na wanapoteuliwa na Rais, wakaidhinishwe na Kamati za Bunge za Wizara husika, na Kamati za bunge ziongezewe nguvu kisheria ili kusimamia uwajibikaji wa Viongozi wa juu wa taifa.

  - Je tunawahitaji Ma-DC? So far sina uhakika na hili.

  MUCH RESPECT PEOPLE!


  William @ NYC, USA.: Mutuz Le Baharia!
   
 2. King2

  King2 JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli, kabisa kwani wabunge wanapokua mawaziri wanakuwa kwa ajili ya interest ya serikali.
   
 3. m

  mhondo JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ma -RC siyo wabunge ila sijui kwanini Rais aliamua kuwateua baadhi ya wabunge kuwa Ma-RC. Pia aliwateua baadhi walioshindwa kwenye Ubunge na kuwapa U-RC.
   
 4. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I am not too much into who is who as long as they have Tanzania at heart. What Tanzania needs is a fresh person not affiliated to the current or former administrations. We have a lot of good leader materials out there and especially in the diaspora. At times people get enough of old wine and its then o.k. to go for new wine. Tanzania also need to start electing leaders based on what they can do, but not on what they can dish out at campaign time. Tanzania are hard working people and all they need is a good leader.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Na hiyo dhana ya uteule wa rais unaisemeaje?...Huoni all the thing will go back to square one?
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu umefufuka ulikuwa kimia kitambo? toka useme/ utabiri NEC itawavua magamba matatu na ikawa sivyo ndivy ukapotea, hope ulikuwa unaratibu ujio wa Nape USA, ukashindwa ikabidi Mashua wako aje kukupiga tafu, anyway ulichokisema ni kweli kabisa na na ndio msimamo wetu CDM.Well mwambie mshua wako Kimenuka ... ongea na mshua...
   
 7. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Kwanza mkuu gamba hongera kwa kuwa na moyo wa mwendawazimu kwa kusema ukweli
  Hoja yako ni ya msingi hayo ndiyo mambo tunayoitaji kujenga taifa, kamati za bunge kuwajibisha watendaji inaleta changamoto na chachu ya maandeleo ni ngumu sana kuonga watu zaidi ya kumi au kuwashawishi kumezea hoja kama ilivyosa sasa Kikwete akikaa kimya hakuna anayewajibishwa taifa liende huko, bunge liwe na mamlaka zaidi juu ya watumishi wa umma

  Wakuu wa mikoa na wilaya hii iko wazi hawana faidi, hakuna wanachofanya ni viongozi wa kisiasa Raisi anaitaji wawakilishi kila mkoa kwa shughuli gani? kazi nyingi nchi zinapangwa kitaifa na ziko nchi ya mawaziri ambao pia ni wawakilishi wa raisi, hakuna mkoa nchi wenye mikakati yake kivyake pasipo kuamlishwa na viongozi wa kitaifa yaani mawaziri kwa misingi hiyo wakurugenzi au maafisi tawala wa mikoa wanaweza kufanya hili, haya mambo ya kila mtu kuwa mwakilishi wa raisi ndipo tunakwama kila kitu, maana kima mtu anakuwa na rank sawa na mwingine wote wanawajibika na kuwajibishwa na raisi kuna wakumwambia mwingine kitu hapo

  tutoke huko tuwe na mfumo ulio nyooka wawakilishi au wateule wa raisi wapunguzwa, raisi aondolewe haya madalaka ya kuteuwa kila mtu ndio maana watu wagomeana maofisini matokeo yake shughuli haziendi
   
 8. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  RC-Wachaguliwe na wananchi kati ya wabunge wa mkoa badala ya kuchaguliwa na raisi. Hii itawafanya wasiame ame kila siku na wawe wanapenda sehemu ya kazi ambayo ni nyumbani.
  Mawaziri wasiwe wabunge- Kama system ya Marekani
   
 9. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Wow, for the first time naona kijana ss umekuja ktk real world !! Nakubaliana na pendekezo lako. Pia nadhani vyeo vya RAS na DC vifutwe (waajiriwe DAS wilayani badala ya kuteuliwa) na ajira hizo zisimamiwe na mikoa husika (short renewable contracts). TOR zitaangalia kwa undani wa eneo husika km geography na resources vs key activities/potential za eneo husika)- say DAS wa monduli anaweza kuwa na TOR tofauti na yule wa Mbinga au Newala au wa Ilala (kama mtendaji mkuu wa eneo husika lazima sifa za flan flan ziangaliwe). Hii nadhani itasaidia sana kusukuma maendeleo hasa in rural areas ( the idea of decentralization was great lakini utekelezaji wake umekuwa wa kisiasa sana kiasi kwamba hakuna lolote la maana lililofanyika..). Na ktk kuongeza transparency, wagombea wote sifa zao/elimu itaanikwa wazi ili kutoa muda wa verification if needs be ( kuondokana na vihiyo ).
   
 10. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Baba yako na Kaka yake wote walipitia Vyeo hivyo

  Sidhani Rais wa CCM ataachia vyeo hivyo; only if iwe Tume Huru kama ya Kenya... Sio hii inayochaguliwa na Rais wa CCM It will never work...
   
 11. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mengine hayana haja ya kuandika kwenye katiba, yako wazi sana, busara na common sense zinatosha. Tunaposema separation of powers ni simple kuelewa, hakuna sababu ya msingi ya kumteua mbunge kuwa RC au RC kuwa mbunge. NI sababu za kisiasa zinazowafanya baadhi ya wanasiasa kujifanya hawajui. Lakini sioni kama kuna uwezekano wa hayo unayosema kufanyika hapa Tanzania, hasa ukizingatia ubovu ulipo kwenye ngazi ya kufanya maamuzi kwenye chama tawala.
   
 12. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Well, Rais ni muhimu akachagua watendaji wake, isipokuwa waiidhinishwe na Bunge kama tunavyofanya kwenye Waziri mkuu, hatuwezi kumteulia Rais wasaidizi wake, lakini ni muhimu sana tukawachekecha through info za Usalama wa Taifa kama wanafaaa, kama hawafai Rais aaambiwe atafute mwingine, I mean ni muono wangu tu mkuu!

  William @ NYC, USA: Mutuz Le Baharia!
   
 13. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Well, mkuu ingawa uko nje ya topic nitakusaidia japo kidogo:

  1. Wa NEC haukuwa utabiri, inaonekana upo mbali sana na siasa za bongo ama sivyo ungekwua unajua kwamba Chenge aliandika barua ya kujivua, akakataliwa na CCM the very last minute, so haukuwa utabiri kama unavyodhani ni Lowassa peke yake aliyekataa kata kata kujivua mpaka leo, lakini chenge ameshaweka wazi kwamba yuko tayari anytime!

  2. Mshua wangu alikuja kupumzika, privately, na Mheshimiwa Nape alikuja kuweka sawa mpangilio na kanuni za uanzishwaji wa Tawi la CCM hapa New York City, ambalo nilitangaza last year kwamba nitalianzisha na wakati umewadia sasa, nipo mbioni na matayarisho ya mwisho mwisho, ila kukataa uroho wa power, sigombei anything nawaachia wengine unajua wapo wana-CCM wengi kila mahali Duniani.


  So uwe na amani mkuu wangu!


  Respect!


  William @ NYC, USA: Mutuz Le Baharia!
   
 14. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwenye RED achague baadhi sio kama sasa kila kona kuna wateule wa raisi kwa mfano UINGEREZA post ya mkuu wa POLISI wanaoona wanafaha wanachukuwa form na kuapply hakuna kupewa kama kitumbua, kuna post zipelekwe kwenye panel za inteview moja hiyo niliyotaja, panel inaweza kutokana na wizara husika kisha kamati ya bunge au kamati maalumu kisha kusibitishwa na mkuu wa nchi, chekecho kama hilo linaweza kuondoa upendeleo na uozo, najua process ni ndefu lakini wakubwa kama hawa katika nchi hatutakiwi kufanya makosa na maraisi peke yao hawawezi ndio maana wanaona wana familia wao tu ndio wanafaa KIKWETE katuwekea IGP shemeji yake
   
 15. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Sawa sawa tupo wote hapo, yaani one page!

  William @ NYC, USA: Mutuz Le Baharia!
   
 16. k

  king11 JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani ma RC katika katiba mpya wawe wabunge, lakini wapatikane kwa kuchaguliwa na wananchi na si kuteuliwa na wajulikane kama ma senetor katika mikoa yao.........pia kwenye upande wa mawaziri nadhani tuwe na wizara chache zisizozidi kumi na rais abanwe kuunda wizara bali ateue mawaziri wa wizara ambazo tayari zimeshatajwa
   
 17. babad

  babad Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeongea point ila Mchakato wenyewe ushakuwa wa mizengwe tutafika kweli?
   
 18. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hoja ina msingi,lkn kwa vile Rais mwisho wa yote yeye ndo anabaki na mamlaka ya kuamua kipi kiwemo na kisiwemo ndani ya katiba pasi shaka hataridhia hili cause wale kimsingi wamekuwa wawakilishi wake politically na c kiutendaji,na anafaidika nao haswa!
   
 19. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  point to be noted mkuu
   
 20. Capitol Hill

  Capitol Hill JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2007
  Messages: 733
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  very true.
   
Loading...