Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Muda huu waziri Kombani, mh. Lissu na mwanasheria wako ktk mjadala wa katiba mpya!
0 Reactions
25 Replies
4K Views
NOV 25 New economic powers India and China are being accused of buying land cheaply and uprooting indigenous communities. Indian, Chinese and U.S. companies are among many inking...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
November 17, 2011 Mtanzania Imeandikwa na Khamis Mkotya, Dodoma Yumo Hamad Rashid Mohamed Maalim Seif adaiwa kudidimiza chama Wajumbe wa Baraza Kuu roho juu Taarifa za kuaminika...
2 Reactions
113 Replies
13K Views
Wana jf, Wiki hii chama kinachoongoza serikali yaani CCM kimekuwa na vikao kule dodoma na vimemalizika lakini binafsi sijapata kuelewa ni ufumbuzi upi juu ya matatizo yanayokikabili na serikali...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Kile kikao kilichoombwa na CHADEMA kukaa na JK kuzungumza kuhusu katiba mpya hatimaye leo kitafanyika. Habari zinaendelea kudadavua kuwa kikao hicho kitahusisha ujumbe wa CHADEMA na JK na forum...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Nimesoma maneno aliyonukuliwa Nape Nnauye kwenye Gazeti la Mwananchi “Suala hili lilikuwa na pande mbili ambazo zote zilipitia hatua stahiki. Upande wa kwanza ulikuwa ni kwa watuhumiwa kujipima...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Dar es salaam pamoja na kuwa na wakazi wengi ina tatizo kubwa la maji achilia mbali matatizo mengine. Maji hayatoki kwenye mabomba kama wakazi wake wanavyotegemea, Pamoja na ukweli kwamba watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kimya kirefu mh lowassa ameamua kujitokeza ndani kikao cha NEC na kuelezea kusikitishwa kwake na kauli ya za Nape kuzunguka nchi nzima kumchafua,siku zote lowassa alikaa kimya pengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nchi imenuka kila mtu anafahamu kila sehemu njaa,ajali zakizembe,ufisadi,ajira hakuna,rasilimali zinachukuliwa mchana kweupe tunaangalia kama filamu vle,uharibifu mkubwa wa ardhi usiokuwa na faida...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais akichaguliwa kabla hajaapishwa anaitwa rais mteule. Je ikitokea wakati anaapishwa na kabla hajamaliza kiapo chake akaanguka ghafla na kufa , ni nani ataongeza nchi na yeye atazikwa kama rais...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JK aliingia na mtandao wa RA, EL, 6 na wengineo...JK aliingia na hela za uchafu wa EPA na madudu mengine ikiwemo Richmond zilitokea katika kipindi chake na hivyo kuwa responsible kiasi fulani...Jk...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Saturday, 26 November 2011 20:11 CHADAIWA KILIKURUPUKA KUJIVUA GAMBA, SASA KIMEKWAMA Claud Mshana WAKATI CCM imemaliza vikao vyake vikuu vya maamuzi mjini Dodoma juzi bila kufikia...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Eeeheee, naumwa Kichwa. Ikulu kuna nini? Mbona Mwalimu Nyerere alitoka mwembamba? Nashangaa sasa hivi watu wanapigana vikumbo wanataka Ikulu, kuna nini sasa hivi. Watu wanagombania Ikulu kwenda...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
ndugu Nape alitaka kufanya press conference na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kikao cha NEC lakini alizuiwa na wakubwa wa CHAMA kuwa hakuna haja hali iliyopelekea Nape kususia...
1 Reactions
150 Replies
15K Views
Wakuu, Leo hii JK alikuwa huko Monduli Arusha kutunuku kamisheni za Maafisa wa Jeshi. Taarifa za kuwasili kwa JK Arusha zilianza ziku chache zilizopita ambapo ilikuwa apitie uwanja wa ndege wa...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Saturday, 26 November 2011 08:50 Hussein Issa SIKU moja baada ya Halmashauri Kuu ya CCM kumvua madaraka aliyekuwa katibu wa chama hicho mkoani Dar es Salaam, Kilumbe Ng'enda,mtendaji huyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Basi bwana wal;e wajumbe wa halmashauri kuu ya kile chama chetu cha mafiosango wamelichoka vuvuzela lao na kusema kuwa eti linaropoka na halina mpangilio, haivi jamani kwani hataki kuonana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utangulizi Makala hii imeandaliwa kwa ajili ya kusherekea miaka hamsini ya uhuru yaliyofanyika katika Chuo cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania kampasi ya Mwanza tarehe 25/11/2011. Makala hii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu nawasalimu. Swala la Jairo/Lihanjo vs Swala la Katiba lipi wanatanzania walitarajia Bunge letu lionyeshe msimamo unaostahili na sio siasa ? Mimi nachelea kusema katiba mikutano yote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Follow live proceedings of the above meetings on our social media (Twitter @jumuiya Facebook facebook.com/proudlyeastafrican) Livestream of the meetings at livestream.com/jumuiya. Feel free to...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…