Sakata la Jairo/Luhanjo Wabunge walikuwa MOJA lakini Swala la Katiba Bunge liliparaganyika kwanini ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la Jairo/Luhanjo Wabunge walikuwa MOJA lakini Swala la Katiba Bunge liliparaganyika kwanini ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibori, Nov 27, 2011.

 1. K

  Kibori Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu nawasalimu.

  Swala la Jairo/Lihanjo vs Swala la Katiba lipi wanatanzania walitarajia Bunge letu lionyeshe msimamo unaostahili na sio siasa ?

  Mimi nachelea kusema katiba mikutano yote yaliyokwisha kufanyika, mkutano huu wa mswada wa mabadiliko ya katiba mpya,Bunge na wabunge wetu walitakiwa kusimama imara na kuwa moja ili kutetea na kutuwakilisha katiba swala hili la katiba kama ambavyo mnavyojua sisi watanzania walio wengi hatujapata fursa ya kuchangia. Dar es salaam, Dodoma pamoja na Zanzibar si sehemu ndogo sana kwa uwakilishi ukilingalisha na nchi nzima ya Tanzania. ( Pamoja na kwamba tunajua hata Dar, Dodoma na Zanzibar watu hawakushiriki vilivyo)

  Naheshimu sana bunge letu kwa kujadili na kuchangia swala la Jairo kwa ummoja bila kujali chama lakini Mswada wa katiba mpya bunge letu liliparaganyika na kuweka maslahi zaidi ya siasa mbele na muhimu kuliko miaka mingine pengine 50 ya nchi yetu...kwahili sitowasamehe wabunge wetu bunge kwa hili limepotoka ..... NCHI hii na watu wake ni muhimu kuliko siasa za vyama.

  Sasa tuwafanyeje wabunge hawa ? wameshindwa kutuwakilisha katika swala la mswada wa mabadiliko ya katiba mpya. Naomba kutoa hoja kwamba Bunge letu limewasaliti watanzania kwa hili na watanzania sasa lazima tusimame kwa maandamano makubwa kupinga na kulaani kitendo hicho cha bunge ......

  Karibuni
   
 2. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwnye swala la Jairo wabunge wa CCM hawakupew mgao ndio maana walishupalia,kama wangegawiwa usingesikia kelele yoyote.
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  hilo ndilo jibu,hawakupata 10 per kwenye ishu ya jairo lakn ktiba walikalishwa wakapewa chao baada ya hapo ni kukupuka kama kuku waliofunguliwa mlango
   
Loading...