Maendeleo ya katiba ndani ya miaka hamsini ya uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maendeleo ya katiba ndani ya miaka hamsini ya uhuru

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mbasajohn, Nov 27, 2011.

 1. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  View attachment MAENDELEO YA KATIBA NDANI YA MIAKA 50 YA UHURU.docx

  Utangulizi
  Makala hii imeandaliwa kwa ajili ya kusherekea miaka hamsini ya uhuru yaliyofanyika katika Chuo cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania kampasi ya Mwanza tarehe 25/11/2011. Makala hii imegawanyika katika sehemu kuu nne, ambapo sehemu ya kwanza inahusisha maana ya katiba na sifa za katiba bora ya nchi, sehemu ya pili imeongelea historia ya utungaji wa katiba Tanzania tokea uhuru, sehemu ya tatu imeongelea mafanikio na changamoto katika maendeleo ya kikatiba ndani ya miaka hamsini ya uhuru na sehemu ya nne nay a mwisho imeongelea mchakato kuelekea katiba mpya. Na mwisho kabisa ni hitimisho la mwandishi.
   
Loading...