Kikwete last man standing | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete last man standing

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mharakati, Nov 27, 2011.

 1. m

  mharakati JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  JK aliingia na mtandao wa RA, EL, 6 na wengineo...JK aliingia na hela za uchafu wa EPA na madudu mengine ikiwemo Richmond zilitokea katika kipindi chake na hivyo kuwa responsible kiasi fulani...Jk alishtukia nguvu za wanamtandao za kumtumia tu kupata madaraka makubwa zaidi haswa EL na akaanza kuwa na wasiwasi kuwa anaweza asistaafu kwa amani kwani EL alikua na malengo makubwa sana na asingeweza kumlinda kikwete kiuhakika pindi atakapobanwa na umma...Lowassa ni realist-populist anakutumia na akiona unakua mzigo anakutosa bila ya kusita...hii ilimtisha JK

  Jk akamtosa EL uPM, akamgonganisha EL na 6....baadae akamtumia EL kumtoa 6 uSpika ambaye Jk alimuona ni tishio kubwa vile vile...hatujui nini kimewapata mwandosya na mwakyembe ambao wangekua tishio la JK 2015 na pindi akistaafu...

  Pamoja na EL kumpa zigo la Richmond Jk juzi juzi hapa bado JK atacheka cheka na kununua muda wake kwa kuendeleza makundi huku akionekana mdhaifu wakati ana nguvu ya wananchama wengi wa kawaida...hatotaka kukigawa chama na endapo EL ataweka wafuasi wake wengi CCM 2012 atawabembeleza akina 6 wabaki wasijiondoe na kuingia upinzani kwa kuwapa moyo kwamba EL hapiti hapo 2015....

  Ataendelea kununua muda hadi hapo 2015 ambapo atatumia nguvu yake kwa wanachama wa kawaida kumtoa EL katika mbio za urais na kumtuliza EL kwa kumfukuza kabisa 6 uanachama akiwa ameshapoteza umaarufu wake mkubwa huku akiwa hana muda wa kuanzisha chama chake mwenyewe...hapo atashinikiza mtu wake apite kati ya watu wake 3 au 4 atakaowana siyo tishio kwake....na huyu Jk ndiyo last man standing.... safari ni ndefu na walianza wote wakiwa na malengo makubwa lakini m1 tu atabaki kasimama....
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mpaka Wahazabe wanajua Jk ni Mwizi!
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kitakacho amua mshindi ni afya zao!
   
 4. U

  UNIQUE Senior Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa subiri aoene advertise kidogo ndo atajua watz wamechukia kiasi gani. A leader who can not make decisions is useless! Wezi wamejaa anwaangalia!
  Tunaanza lini kuzichapa? Mazoezi tu bila hata mechi za majaribio haitoshi. Hebu tufanye kama mbeya, ar., mz na tarime kwanza.
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,559
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Duh!

  Umenikumbushia mbali sana,yani kama ile cartoon ya Tom and Jerry ya cat n mouse game!

  Mara ya kwanza kweli 6,Mwakyembe na wengine walichonganishwa wakakubali kumtosa EL,ofcourse wao waliona ni opportunity kwao kuukwaa urais.

  Sasa behind the doors tena JK na EL na wengine wakamgeuka Sitta kutoka kwenye uspika.

  Duh mafioso games kabisa.

  Kaaazi kweli kweli!

  6 alitaka kuhamia ccj na sasa EL nasikia CDM...
   
Loading...