Swali: Nini tija ya vikao vya CCM vilivyomalizika wiki hii kule Dodoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali: Nini tija ya vikao vya CCM vilivyomalizika wiki hii kule Dodoma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Nov 27, 2011.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wana jf,

  Wiki hii chama kinachoongoza serikali yaani CCM kimekuwa na vikao kule dodoma na vimemalizika lakini binafsi sijapata kuelewa ni ufumbuzi upi juu ya matatizo yanayokikabili na serikali kwa ujumla umefikiwa.

  Naomba mwenye taarifa zaidi anihabarishe.
   
 2. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hakuna chochote kilichofikiwa kama tulivyobashiri hapo mwanzo baada ya kuanza zoezi hilo ambapo wengi wetu tuliliona si zaidi ya "USANII"Utaweza vipi kujivua gamba ambapo asilimia 99 ya viongozi wa CCM na serikali kuanzia JK mwenyewe ndio magamba(MAFISADI)?!!!CCM INAJARIBU KUSUKUMA GARI WAKIWA NDANI YA GARI LENYEWE.
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,437
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hata mimi sijui!!
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kumvua madaraka aliye kuwa katibu wa CCM mkoa DAR kwa kosa la uchakachuaji
   
 5. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 280
  Na kujiburudisha na vibinti vya chuo. CBE, UDOM, St. Johns, MIPANGO nk. Rahaaaaa si unajua tena mkulu na Nchemba walikuwapo hukoooooo........!!!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,482
  Likes Received: 15,720
  Trophy Points: 280
  Tija?? Kuna tija CCM? Lengo la vikao vile lilikuwa kumsafisha Lowassa.
  Senkyu pyupu and sit daun
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 16,864
  Likes Received: 9,699
  Trophy Points: 280
  matumizi mengine mabaya ya fedha.
   
 8. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,003
  Likes Received: 6,111
  Trophy Points: 280
  Kutumia hela za misaada kupeana posho
   
 9. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wameazimia bei ya sukari ishuke
   
 10. T

  Tata JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,586
  Likes Received: 527
  Trophy Points: 280
  Sikumbuki kama matatizo yanayoikabili serikali kwa ujumla yalikuwa kwenye ajenda ya vikao vilivyoisha. Nilichosikia zaidi ni masuala ya magamba. Vikao vilifanikiwa kugundua kuwa Lowassa na wenzake hawakufikishwa kwenye kamati ya maadili ili haki itendeke. Pia tumegundua kuwa Nape na Chiligati hawakutumwa na chama wala mwenyekiti kuongelea magamba badala yake walikurupuka na kuanza kuongelea walichokiita magamba wakimaanisha ni Lowassa, Rostam and Chenge. Kama sikosei kikao kiliamua kuwa ikidhihirika kuwa hawa jamaa watatu siyo magamba kama Nape na Chiligati walivyotaka kutuaminisha basi watachukuliwa hatua za kinidhamu.
   
 11. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Vikao vyao vimepoteza mvuto ndo maana Nape aliwakacha dakika za mwisho kwa kifupi hakuna tija kwa taifa wala chama chao.
   
 12. k

  kuzou JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  si kila kilichojadiliwa liliwekwa wazi
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mambo ya ngoswe................................
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 64,256
  Likes Received: 62,526
  Trophy Points: 280
  Havina tija yoyote zaidi ya usanii. Mfano halisi ni ahadi ya kulivua gamba ilitotolewa miezi 7 iliyopita kwamba wahusika wajiondoe ndani ya magamba baada ya siku 90 au watafukuzwa. Tangu wakati ule hadi hii leo vimefanyika vikao chungu nzima lakini wahusika bado wanapeta ndani ya magamba ukiondoa yule fisadi Rostam aliyeamua kujiondoa mwenyewe. Huu ni ushahidi tosha kwamba vikao vta magamba vimejaa usanii tu na havina tija yoyote.
   
Loading...