Muda huu star tv Tundu Lissu & Celina kombani

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Muda huu waziri Kombani, mh. Lissu na mwanasheria wako ktk mjadala wa katiba mpya!
 
recorded. Mkuu are you sure yuko ikulu kwani wanaingia ikulu saa ngapi; hofu yangu ni hewa; je wana box la oxygen y ao maana hatukumbuki kolimba alikufaje akiwa mbele amesimama tu mbele atamke neno likagoma na akaondoka
 
hahah...mkuu unataka watinge Ikulu huku wakiwa wampiga gas masks zao kabisa? sasa watajadili vipi?
 
Gas masks hazitoshi, waingie na scuba diving gear au ikiwezekana space suits maana kuna za kwenye viti kama walizowekeana bunge la Tisa.
 
hebu tupe yanayojili wengine tuko mbali na TV.
Mh. Kichomi ktk mazingira yasioeleweka ile namaliza tu, kushut News alert naweka cm chini ameongea Celina kama dkk 3 hv, akaongea Lissu takriban kw dkk hizohizo, akaongea somebody Mwanaharakati, kipindi kimeisha! Aidha kw hayo machache uelekeo dhahiri ulikua unaonesha MVUA YA MAWE kumuangukia Kombani, utafikiri StarTv wamestopishwa wasiendelee na kipindi, labda ushauri wangu ambao mna contact na Angello Mwoleka wajaribu kutuulizia ameshinikizwa kukatisha au ni aje! Kwani style alivyomaliza kipindi si ya kawaida.
 
startv wanatumia satellite jamani au mmsesahau? satellite itakuwa na mushkeli.
 
Ni kweli mkubwa kipindi kimekatika ktk mazingira ya kutatanisha!

Au ile mitambo ya Serikali ya kuingilia mitambo ya TV na radio imeshaanza kufanya kazi?nakumbuka iliandikwa hapa hapa JF kwamba serikali imeugharamia kwa mabilioni!
 
hata mi nafikiria hivyo! Serikali imejidhihirisha kuwa ni dhaifu.
 
Mmesababisha niikaacha chai yangu ngoja niendelee maana sanaa za nchi hii zimenichosha...:A S-coffee:
 
Back
Top Bottom