Arusha bado ngoma nzito kwa JK! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha bado ngoma nzito kwa JK!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ScreenMaster, Nov 26, 2011.

 1. S

  ScreenMaster Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Leo hii JK alikuwa huko Monduli Arusha kutunuku kamisheni za Maafisa wa Jeshi.

  Taarifa za kuwasili kwa JK Arusha zilianza ziku chache zilizopita ambapo ilikuwa apitie uwanja wa ndege wa KIA, ndipo aingie kwenye msafara wa magari hadi Arusha, kutokana na sababu kuwa kiwanja cha ndege cha Arusha kipo matengenezoni, na njia ya kurukia ndege imefupishwa.

  Lakini wasaidizi wake walistukia mpango huo, ambao ungemlazimu JK kupitia Arusha mjini ili aende Wilayani Monduli, na wakatumia nguvu ya dola kuepusha JK kupita Arusha mjini kwa kulazimisha wajenzi wa kiwanja cha ndege cha Arusha kuondoa makatapila ya ujenzi kwenye njia ya kurukia, na wakatakiwa kushindilia njia ya kurukia japo temporarily, ili mzee apitie uwanjani hapo, na kwa jinsi hiyo kuepuka kabisa kupita Arusha mjini.

  Hakika Arusha ni tishio kabisa kwa mkuu huyu!
   
 2. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Asante.

  Hana legitimacy huyo ndo maana anawakimbia wazalendo wa hapo AR.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nani atatufaa wana A TOWN ZAIDI YA EL??? TUTAFAKURI KWA KINA
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Dr Slaa
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tumechoka kumsikia huyu fisadi, hivi hakuna binadamu wengine?
   
 6. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Monduli si ndio kwao Lowassa! Jk kaenda jeshini na Lowassa yupo kwao....kweli hawa jamaa hawakukutana barabarani
   
 7. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kazi kweli kweli! Hizi ni hisia au? Angepita town wangemfanya nini? Anyway ni mawazo yako tu screenmaster haikuwa hivyo.
   
 8. S

  ScreenMaster Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya sasa...
  Mpiga Zumari hupiga wimbo ambao mlipiaji ameuchagua!
   
 9. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mwacheni aendelee kuruka mkojo weeeeeeeeeee ....ipo dakika atajikuta anatua kwenye bonge ya kinyesi mahali asipotegemea kwamba kuna kinyesi akidhani ndipo palipo salama.Hajui huko kwingine waliopo kimya wanatunga sheria wapi waanzie,,:A S embarassed:
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mimi nimekuwa nikisema hapa jukwaani siku zote. Jk hawezi kuja Arusha. Hata Monduli amekuja kwasababu za kiitifaki. Graduate wa Monduli huwa wanatunukiwa vyeo na rais tu. Hawezi ku deligate kwa mtu. Ameamua kupitia juu kwa juu. Na ninaamini kama kungekuwa na uwanja wa ndege Monduli, basi hata uwanja wa Arusha asingetua. Hakuna kiongozi yeyote wa ccm anayeweza kuja Arusha hadi sasa. Najiuliza kampeni za uchaguzi wa madiwani waliotimuliwa sijui ni nani wa ccm atakayekuja kuwapigia debe!? Yangu macho!
   
 11. S

  ScreenMaster Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unauliza wangemfanya nini?
  Waulize wasaidizi wake wakwambie kwanini wameamua kum'risk kwa kumpitisha kwenye kiwanja kilicho kwenye ujenzi, wakati KIA ipo na inaendelea na operations!
  Mbali ya ujenzi, Arusha ilikuwa na Weather mbaya kabisa asubuhi alipotua, lakini altenative ilikuwa ni Arusha tu....not KIA!
   
 12. D

  Derimto JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni kweli Monduli ni jimboni kwa Lowassa lakini hakuwepo muda wote JK alipokuwa pale maana mimi nilikuwepo uwanjani na suala la yeye kutumia uwanja wa kilimo Anga lilipingwa tangu na wanausalama waandamizi wakishauriana na wale wa makao makuu na ilikuwa ashukie KIA kutokana na uwanja huo wa Arusha kuwa kwenye matengenezo lakini kutokana na wao kuona inawezekana kuutumia kwa dharula ndipo ametumia uwanja huo.

  Jk leo alikuwa akionekana mpole sana sana na hakuwa na raha na alisema maneno machache sana tena ya kusoma wakati wa kuwatunuku maofisa hao ila wakati mafahali yalipomalizika alionekana kuwa na ka uchangamfu kidogo na aliweza hata kuwaita watoto wachache walikuwa pembezoni mwa barabara za uwanja wa gwaride na kuongea nao kidogo na kuendelea na mambo mengine.
   
 13. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hivi Akipita Arusha kutatokea nini?Acheni Siasa za Uhasama nina hakika JK akija huko sioni kitakachotokea sanasana Ninawaomba siku akitua AR mjipange barabarani kumpokea kwa shangwe na nderemo kama enzi hizo lengo ni kuepusha Uhasama
  Usiokwisha
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kama wewe ni mmoja ktk mwenendo wake,hebu mwamasishe apite hp A town na kale msafara wake na bila shaka majibu mtapata! We unafikiri hana watu wanaomtonya ya kwmb hali si yenye hapa Arusha? Nakwambia kama ni wewe ndio kati ya wapambe wake kamwambie aje hapa na majibu mtapata! Buushitttt!!
   
 15. S

  ScreenMaster Member

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui wewe unaishi wapi hadi uwe mgumu kuelewa, lakini kwa ufupi mji wa Arusha uko katika Next Level!
  Wana Arusha wana uwezo wa kufanya japo kitendo chochote ili kuonyesha wanachoamini na kusimamia mioyoni mwao.

  Nimeshudia leo dereva mmoja wa magari yanayoenda kwa jina la MILANO(wanaoishi Arusha wanayajua sana), akigomea maelekezo ya traffic waliokuwa wanaopanga magari eneo la gereza kuu Kisongo, ili kuupisha msafara wa JK.

  Dereva huyo amebebwa juu juu na wanausalama wa msafara huo kwa Tanganyika -jeki na kuingizwa katika gereza kuu la hapohapo Kisongo, na majaliwa yake ni Jumatatu ambapo huenda akapata mzamana!...mbaya zaidi kijana huyo haonyeshi kujutia kitendo chake!

  Usipime na Wana-Arusha jomba!
   
 16. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  arusha tishio, mbeya inafuata!!!
   
 17. L

  LAT JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kitakachotokea ni Matope
   
 18. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  JK alikuwa hana raha, mnyonge, mpole hana uchangamfu ... Stressed by Magamba in Dodoma?? Did Magamba proved him worthless? ... JK Should take care..... AND... Realy be careful with this. Because if he will let the magamba stress internalise ... Honestly and shurely his immunite wil be Compromised! ... And it will give his opponents the power he wouldnt wish!!
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watu wanapenda kujidagnya bana hivi kweli rais Kikwete hawezi kupita Arusha kisa anawaogopa wana Chadema!
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Naona watu mnatumia muda wenu mwingi kwenye hii thread kudiscuss kitu ambacho ni senseless
   
Loading...