Rais mteule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais mteule

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Thomas Odera, Nov 27, 2011.

 1. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Rais akichaguliwa kabla hajaapishwa anaitwa rais mteule. Je ikitokea wakati anaapishwa na kabla hajamaliza kiapo chake akaanguka ghafla na kufa , ni nani ataongeza nchi na yeye atazikwa kama rais mteule au? Nawasilisha
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Ikitokea hivo ni kuwa aliyekuwa mgombea mwenza ataapishwa kama makamu wa rais na kwa mujibu wa katiba atakuwa kaimu rais na ataongoza nchi ndani ya siku 90 lazima uitishwe uchaguzi mwingine wa rais, so mgombea mwenza ataapishwa kwanza kama makamu wa rais baadae ataapishwa kama rais wa muda huku uchaguzi ukiandaliwa!!!
   
Loading...