Tz na wanaharakati uchwara! Shenzi kabsdg | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tz na wanaharakati uchwara! Shenzi kabsdg

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by middo, Nov 27, 2011.

 1. middo

  middo JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nchi imenuka kila mtu anafahamu kila sehemu njaa,ajali zakizembe,ufisadi,ajira hakuna,rasilimali zinachukuliwa mchana kweupe tunaangalia kama filamu vle,uharibifu mkubwa wa ardhi usiokuwa na faida kwetu nenda shinyanga uone artificial mountain zilzoletwa na uchimbaji wa kzamani wa madini,mishahara mibovu kwa wafanyakazi wa serikali especial walimu,madawa hakuna hospitalini na kila siku matatizo yanazidi yani tunaishia kusema afadhali jana halafu kuna pumbavu wanajiita eti "wanaharakati" wanamharakatia nani? Utawasikia kla leo kwenye media wanainitiate movement zisizokua na mwelekeo zakishamba kabisa kama wanatafuta jina bora waongee waeleweke sio wabongo wanaweka matumaini juu yao, naamini kabisa 99.9% ni njaa tu wanatafuta kuwafisadi watz.Watz kueni makini na hawa wahuni na mkumbuke ukombozi auletwi na mtu bali na watu, kama kweli ni wanaharakati watupe mipango endelevu ya ukombozi sio kutishia kuandamana halafu wakiambiwa kuna al-shabab msiandamane wanakubal na wanajua uzushi sijui wanaongwa hawa?
   
Loading...