CHADEMA, Kikwete uso kwa uso 27th Nov 2011

Status
Not open for further replies.

Sambega

Member
Jul 6, 2011
68
16
Kile kikao kilichoombwa na CHADEMA kukaa na JK kuzungumza kuhusu katiba mpya hatimaye leo kitafanyika.

Habari zinaendelea kudadavua kuwa kikao hicho kitahusisha ujumbe wa CHADEMA na JK na forum yake huku vyama vingine vya siasa kutokuwepo tofauti na ilivyopendekezwa na NEC ya CCM ambayo inaongozwa na JK.

Jamani pindi kikao kikianza kwa yeyote atakayepata kinachoendelea kikaoni atujuze. Naomba kuwasilisha.
:spy:

Source; Mwananchi newspaper
 
Naona baada ya hapo mbivu na mbichi zitajulikana kama atasaini mswada wa katiba au laaaaah.
 
Update ya kikao ni muhimu ila isiwe kama juzi kwenye NEC ya CCM, maana watu walikuwa wanakurupuka tu kututupia matango pori na taarifa za ajabu ajabu humu.

Lakini pia umesahau kutuwekea source hapa.
 
Kile kikao kilichoombwa na CHADEMA kukaa na JK kuzungumza kuhusu katiba mpya hatimaye leo kitafanyika.
Habari zinaendelea kudadavua kuwa kikao hicho kitahusisha ujumbe wa CHADEMA na JK na forum yake huku vyama vingine vya siasa kutokuwepo tofauti na ilivyopendekezwa na NEC ya CCM ambayo inaongozwa na JK.
Jamani pindi kikao kikianza kwa yeyote atakayepata kinachoendelea kikaoni atujuze. Naomba kuwasilisha.
:spy:

Asante mkuu kwa taarifa (kama ni kweli), CDM kwa sasa nakiona kama ndo chama kinacho tawala with a remote na JK lazima ata kneel down baada ya kuaibishwa na EL juzi.
 
Kwa rais wa nchi mwovu, sitarajii aahirishe uovu wake eti kwa kuwa CDM wameomba kumuona, kujadili na kumshauri. J.K anajua anachokifanya, sitarajii kuwaangusaha wabunge wake kwani kabla ya wabunge kujadili na kuunga mkono hoja, taarifa zinasema walikutana na kupeana modalities ambazo naamini ziliasisiwa na uongozi wa chama. Thus, walichokifanya bungeni, ni msimamo wa chama, ni msimamo wa J.K

Kama ningepewa nafasi ya kuwashuri CDM, ningeshauri waendelee kususa au tutangaziane vita watu tuanze kuuana for the good of our juniors
 
Nafurahia maana tim ile ni nzuri sana zaidi wawe makini na hewa wanayovuta maana ccm ni wauaji sana wameua watu wengi sana na wengine kuwaharibia ngozi angalia mwakyembe, ona kombe, angalia kolimba, angalia amina chifupa, angalia akina karume wenyewe list ni kubwa na inaendelea. Mhim kamanda wawe tayari na wawe na soft inteligent mask to detect and take away sumu
 
Update ya kikao ni muhimu ila isiwe kama juzi kwenye NEC ya CCM, maana watu walikuwa wanakurupuka tu kututupia matango pori na taarifa za ajabu ajabu humu.

Lakini pia umesahau kutuwekea source hapa.

source ameiweka chini kabisa mkuu. ni mwananchi newspaper
 
Asante mkuu kwa taarifa (kama ni kweli), CDM kwa sasa nakiona kama ndo chama kinacho tawala with a remote na JK lazima ata kneel down baada ya kuaibishwa na EL juzi.
Ni kweli ila tunapashwa kua waangalifu na CCM chama cha magamba (MAFISADI)Wasitumie hoja ya mazungumzo na CHADEMA kutuamisha kutoka katika hoja ya kisanii" kujivua magamba"Ambapo vikao vyao visivyo na tija vilivyomalizika Dodoma bila ufumbuzi wowote.

Sasa viongozi wa CCM hawana sehemu ya kizificha nyuso zao kwa aibu.Niwazi wataitumia nafasi hii ya kukutana na CHADEMA kama kauli mbiu,angalau watu kusahau kidogo aibu ya mikutano yao ya DODOMA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
uamuzi ni uleule,, nafikiri wanaenda kushuhudia uwekaji wa saini na cyo kubadili maamuzi ya bunge.. cUNAJUWA Huyu jamaa anavyofuata sheria kwenye mambo ya kitaifa? Ye2 macho mtaniambia kifuatacho....
 
Leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete anakutana na ujumbe na viongozi wa CHADEMA ikulu kwa mazungumzo ya kujadili muswada uliopitishwa na Bunge ambapo wabunge wa chadema walitoka nje eti hawaukubali.

wakati waliishawahi kutoka ndani ya bunge kwa hoja eti hawatambui mchakato uliomuweka madarakani Rais, ndipo Rais kikwete aliwaambia "Mtatoka mtaenda mtarudi hakuna Rais wa JMT ila ni mimi na Dkt Ally mohamed shain ndio Rais SMZ na Maalim seif sharif Hamad ni ndio Makamu wa kwanza wa Rais, Seif idd ni makamu wa pili wa Rais, kwa hiyo ili mambo yenu yawanyookee ni lazima mje kwangu"

Kwa maneno hayo ya Rais kikwete, Je viongozi wa chadema wamekwenda kwa ajili ya kutengeneza mambo yao? kama ni hivyo je ni nini hatma ya Chadema?
 
kwa wewe unaonaje?tusiwe na upinzani tanzania?au unataka kusema nini manake sikuelewi
 
Hayo ni maneno ya mkosaji mzee.Ungekua uko rational usingekuja na ideas za ajabu kama hizi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom