Mh kikwete,lowassa bado yuko na wewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh kikwete,lowassa bado yuko na wewe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by naninibaraka, Nov 27, 2011.

 1. naninibaraka

  naninibaraka JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 658
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Baada ya kimya kirefu mh lowassa ameamua kujitokeza ndani kikao cha NEC na kuelezea kusikitishwa kwake na kauli ya za Nape kuzunguka nchi nzima kumchafua,siku zote lowassa alikaa kimya pengine alijua mwenyekiti wa ccm aliongelea hilo,swala la lowassa kujitokeza hadharani ni kuzungumza mbele ya Nec ni mwanzo tu,na pengine ingekuwa si busara za Mkapa hali ingekua tete,je kwa hatua hii Lowassa bado yupo na JK? Na kina Nape aliapa kumfukuza Lowassa CCM ataficha wapi uso wake? Bado ataendelea kuropoka? Wito wangu Lowassa awe huru kuzungumza ili watz tumjue Kikwete,asikubali kufanywa kondoo wa kafara,sema yoye watz tujue ukweli,na sisi tutasimama na wewe,DR Slaa alishawah tamki dowans mali ya JK kwa nini Lowassa abebeshwe tuhuma zote?
  Nawasilisha
   
Loading...