Come on CCM: Gamba ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Come on CCM: Gamba ni nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, Nov 27, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nimesoma maneno aliyonukuliwa Nape Nnauye kwenye Gazeti la Mwananchi

  Mimi nataka nifahamu

  1. Neno "Watuhumiwa" Katika Maazimio yenu lilikuwa linawahusu akina nani?
  2. Je Mliwaandikia Barua au mlikuwa mnataka wajihisi wenyewe kwamba ni Watuhumiwa?
  3. Mimi ninavyofahamu CCM wote ni watuhumiwa sasa nilitegemea CCM nzima ijipime Ichukue Maamuzi kabla Wananchi hawajachukua Maamuzi
   
 2. m

  maselef JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Albedo nice assessment. It is hard for anyone in CCM to point a finger to another. Almost all are rotten
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hivi unategemea watu wajiuzulu kutokana na These Blank Statements zilizotolewa na Wasomi akina Mukama?

  Akina nani hao? Hivi mnaweza kuwalenga watu bila kuwataja kweli?

  Cheki hapa

  Hawa ndio think tank wa CCM waliokaa Dodoma wakatoka na hilo Azimio linalolenga Wanachama Mazimwi yasiyojulikana  Still Blah blah za Mukama
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  monsters
   
 5. I

  Idodi Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba kama movie ya Isdingo haina mwisho. Wote magamba sasa nani wa kumuwajibisha mwenzake.
   
 6. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280
  au waliweka standard kuwa ukijihisi hivi basi utakuwa umefikia kipimo cha kujivua gamba


  Asante sana mkuu..Albedo nadhani na wengine wanafiki humu wanaopenda kunyoosha vidole kwa watu wachache na hao wachache wakifanyika miamvuli ya mafisadi wengine....

  hakuna msafi CCM ....ndio nimesema!
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  mkuu unapendaga kweli kukashifu.
   
 9. m

  mharakati JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  watuhumiwa ni wanamtandao wakuu-RA na EL ambao wamekua midomoni mwa wananchi katika ufisadi mkubwa nchini....hatujali waliiba na nani au walichukua ngapi na kugawa ngapi...hawa ndiyo sura ya ufiadi nchini na hawatakiwi (hatutaki kujua nani aliwatuma kama ni JK au mafisadi wenzao wa kimataifa nje ya nchi-Marekani, Uk etc) sisi tunawajua hawa ndio poster boys wa ufisadi na hatuwataki...hivi kwa nini Mh EL anang'ang'ania kutaka kutuongoza wakati hatumtaki? huu ujinga wa kujiona una haki ya kuwaongoza tu watu au ulizaliwa uwe rais ni kitu cha mwisho Tz inakitaka kwa kiongozi ajaye 2015....tuna matatizo mengi tayari hatutaki mtu mwenye taswira ya mkuu wa genge la wahalifu aingie Ikulu...
   
 10. k

  kapongoliso JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,136
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Dhana ya uvuaji gamba ilikuwa ni usanii wa siasa za Tanzania. Nani alikuambia Kikwete aaweza kujinasua. Bwana mkubwa aliingia ikulu kwa damu za watu. Mikono yake imejaa damu. Fikiria alivyodhalilisha wakii Salim, Sumae k ili yeye aigie ikulu. Halafu unategemea amtose EL ambaye ambaye ni bingwa wa mkakati wa JK kuigia madarakani. Kumbuka JK alipoigia ikulu aliwahi kusema "urais wangu haua ubia na mtu yeyote" Pale alikuwa anakikimbia kivuli chake
   
 11. m

  matawi JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nahisi ccm asiye fisadi ni Rostam maana alijipambanua mapema
   
 12. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,543
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Hakuna mwenye uwezo wa kumfukuza mwenzake mkuu,

  Hapo ndo penye shida,wasafi washakolimbiwa,na wengine kwenye hati hati(ie kina Mwakyembe kama ni kweli)

  Waliobaki ndo mapapa yenyewe...

  Kaazi kweli kweli!
   
 13. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mharakati, behind RA and EL there are very prominent CCM/Govt leaders whom u think are clean! RA ufisadi wake ambao Watz wengi wanaufahamu ulianzia kwenye EPA, huwezi kutaja EPA bila kumtaja B. Mkapa, Mwang'onda (aliyekuwa kibosile wa TISS), JK etc. EPA ni mkakati wa serikali na CCM kupata fedha za kumweka rais wa wana-mtandao madarakani, na mweka hazina wao alikuwa RA, ambaye yasemekana ali-swindle a lot of money himself. Lakini RA asingepewa ushirikiano na kusingekuwa na mkakati wa wanamtandao angezifikiaje fedha za EPA? EL shutuma kubwa ni Richmond, unadhani yeye kama yeye Richmond ingepita? No! Yupo wa juu yake aliyempa go ahead, na pia kimeo hicho cha Richmond kilipitishwa na kupata baraka zote za Baraza la mawaziri. Kuanzia M/kiti hadi mjumbe wa mwisho, kwanini huko hawakuikataa??? Ndio maana iwapo dhana ya kujivua gamba itatekelezwa, basi kila mtu ndani ya CCM ni gamba! huo ndio wasiwasi wangu wakuu!
   
 14. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inashangaza sana kuwa wanaotuhumiwa hawachukuliwi hatua yoyote! haiwezekani kusema kuwa eti wajipime wenyewe, how? kama kweli wanawajua wawataje kwa majina na kuwatimua outrightly! au wafikishwe mahakamani, si wezi? cha ajabu hawana guts za kufanya hivyo na wamewaachia wananchi watuhumu wenyewe kadri ya uelewa na tafsiri yao kuhusu "gamba" na "ufisadi". Kama CCM wapo serious wachukue hatua sasa! wanaogopa nini....au wanataka tuamini kuwa kweli CCM yote ni magamba yanayotakiwa kuvuliwa?
   
 15. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  .. I am tired of the deal darling song of Gamba ...
  .. The composers are weak, feeble, hopeless and totally luck of character ...
  .. Better wait for their poor health as the result self inflicting stress ... enough to compromise their immunity
  .. We should relay only on their poor HEALTHY OR ANYBODY with alternative Trick?
   
Loading...