nijambo la kusikitisha kuona barabara ya uhuru ikiwa na hali mbya huku tukitimiza miaka hamsini ya uhuru wetu, hii barabara ni maarufu sana lakini haijatendewa haki kabisa.
Friday, November 25, 2011, 7:42
African News, theafrican-Lead Story
They say it failed to meet the litimus
Govt rushed it to Bunge before discussion
By Harrieth Mandari
"This did not happen...
Tunawaomba wana CCM muwe watulivu tuweke tofauti za kisiasa pembeni kwanza tumuachie Rais Jakaya na Team yake wapitie mapendekezo ya CHADEMA kuhusu rasimu ya mswaada uliopelekwa kwake Jana...
Nothing questioned JK's political leadership skills than Edward Lowassa's emphatic oral defence at CCM NEC in the just concluded adhoc gathering.......................
Lowassa's emotional...
Wakuu,
Anaongelea juu ya mswaada wa katiba mpya anasema yote yanayopingwa na wana harakati na vyama mbalimbali vya siasa juu ya mswaada huu wao kama chama (NCCR Mageuzi) walisha yaona kabla na...
Kuna watu wanaogopa kuwa kuvuliwa magamba kunaweza kuleta kifo cha CCM. Lakini kuliko kuweka azimio la kuwataka wenye tuhuma za ufisadi waondoke na wasipoondoka chama kitawaondoa, basi kama...
There is no harm to imitate this mining tax policy from Australia.
~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*
Mining tax a step closer for Australia after passing lower...
Baraza la Wanawake wa Chadema-Bawacha limewalaumu sana na kuwalaani wabunge wa CCM na Serikali kwa upotoshaji wa makusudi juu ya muswada wa katiba mpya. Imelaani wabunge wanawake kushabikia jambo...
Wanajamii tusikubari usanii wa CCM(MAFISADI)Kututoa katika hoja ya msingi UFISADI.Katika siku za karibuni kumekua na mbinu za makusudi za CCM kutuondoa katika hoja ya msingi ufisadi uliokithiri...
Kwanini Chadema na wafuasi wake wanataka kuwafanya wananchi waelewe kwamba suala la ‘coalition government' ni jipya na halipo katika duru za siasa ulimwenguni? Kwanini wanadanganya wananchi...
Songo Songo gas plant. Picture: File By JOSEPH MWAMUNYANGE
Posted Sunday, November 27 2011 at 13:37
The Tanzanian government has lost millions of dollars due to lopsided production sharing...
- Wakati umefika wa kupunguza msururu wa Viongozi wa juu, na hasa gharama za kuwatunza waki-retire, I mean people naomba kuuliza hivi kweli tunawahitaji Waziri Mkuu na Makamu wa Rais katika...
Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (kulia) na
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilbroad Slaa,
wakiwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana.
Wakili...
Wazanzibari wanaogopwa sana na Viongozi wetu wa Serikali ya Muungano! Laiti kama wangeuchana tena Muswada wa kuunda Tume ya kukusanya maoni kuhusu Katiba mpya JK asingethubutu kusaini Muswada...
Wanatishia uchumi wa nchi
Kisa wanasaka urais 2015
Zitto Kabwe
Na Muhibu Said
27th November 2011
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Kama ni sifa watanzania wanapaswa kusifiwa sana juu ya kudumu kwa amani tuliyo nayo, iko haja ya Jeshi, Serikali, Vyama, na Uongozi wowote upate kujua Amani iliyopo ni utashi na uvumilivu wa...
M.kiti wa chama cha nccr mageuzi amekutana na wandishi wa habari kutangaza msimamo wa chama chake kuwa hakiko tayari kwa mazungumzo na serikali ya kifisadi ya ccm wala rais wake jk katika suala...
CHASEMA KUJIVUA GAMBA,VITA YA UFISADI VIKO PALEPALE
Neville Meena na Habel Chidawali, Dodoma
Mwananchi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kwa mara ya kwanza kimekiri hadharani kuwa mbio za Urais wa mwaka...
Wakuu,hivi kikao cha muungano wa vyama vya demokrasia afrika kinachoendelea jijini dar kikishirikisha vyama toka nchi 22 chini ya uenyeji wa BAVICHA huhusisha vyama vya upinzani pekee?kama jibu ni...
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party said Saturday it would implement anti-corruption measures nationwide and publicly acknowledged for the first time that a...