Barabara ya Uhuru na miaka hamsini ya uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara ya Uhuru na miaka hamsini ya uhuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kyoga, Nov 28, 2011.

 1. k

  kyoga Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nijambo la kusikitisha kuona barabara ya uhuru ikiwa na hali mbya huku tukitimiza miaka hamsini ya uhuru wetu, hii barabara ni maarufu sana lakini haijatendewa haki kabisa.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Hamna wakubwa wanaoitumia.
  Nenda masaki na oysterbay uone matunda ya uhuru. Zaidi ya 75% ni barabaya ya lami
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  na nadhani ilipewa jina hilo kama kumbukumbu... tatizo viongozi wetu hawaendeshwi na mipango, bali huisia binafsi hasa za kisiasa zaidi
   
 4. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni aibu sana kwakweli, hiyo inaonyesha wazi ubinafsi walionao viongozi wetu, wanajipendelea wao tu mahali wanapoishi kama Masaki, na obay but sehemu ambazo wapiga kura wengi wapo hazithaminiki kabisa.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Just patching up.........

  [​IMG]
   
Loading...