James Mbatia wa NCCR-MAGEUZI live on Channel Ten

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Wakuu,

Anaongelea juu ya mswaada wa katiba mpya anasema yote yanayopingwa na wana harakati na vyama mbalimbali vya siasa juu ya mswaada huu wao kama chama (NCCR Mageuzi) walisha yaona kabla na kuwasilisha maoni yao kwa maandishi kwa mheshimiwa rais, spika, waziri mkuu, jaji mkuu na kugawa nakala pia kwa wabunge wote lakini kwa masikitiko makubwa anasema walipuuzwa na hata kujibiwa japo kwa maandishi tu kwamba maoni yao yamefika hawakujibiwa ila bado anasistiza rais asiusaini mpaka vipengere tata vilivyomo ndani yake vifanyiwe marekebisho.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom