Hatuna imani na serikali wala ccm-mbatia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatuna imani na serikali wala ccm-mbatia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by February, Nov 27, 2011.

 1. February

  February Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  M.kiti wa chama cha nccr mageuzi amekutana na wandishi wa habari kutangaza msimamo wa chama chake kuwa hakiko tayari kwa mazungumzo na serikali ya kifisadi ya ccm wala rais wake jk katika suala zima la katiba. Huo ndio msimamo wa mbatia. Ameamua kula moto na ccm na serikali kwelikweli. Wandishi walibaki tunashangaa kaama kweli huyu ndiye mbatia tulimjua? Mabadiliko haya ya ghafla kulikoni?
   
 2. February

  February Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Je mbatia ameamua kuasi kambi ya mafisadi na ile nyingine? Au kuna jambo?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahahahahahaha,kwakua ni mwanasiasa,
  ngumu kumtilia manani
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  January,mbatia anajikosha,maana tumeshamshtukia
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sehemu niliyo bold inajichanganya na wewe ni mwandishi wa habari?
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,432
  Trophy Points: 280
  Hatimaye machale yamemcheza kula sahani moja na Magamba....Better late than never.
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Anaona Kafulila anataka kumuondoa madarakani,hana lolote hapa anajihami tu.
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbatia nae kaona atoke kivingine, ndio siasa zetu ni kuvumiliana kila mmoja na single yake...bado Mrema, na Cheyo
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Do u trust him?ameanza lini?
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Chatu
  umenena!ila zama hzi hamdanganyi mtu
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Umenena
  maana wabunge wana misimam0 zaid ya mwenyechea
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna jambo gamba halikumbatiwi bali hukatwa.
   
 13. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,613
  Likes Received: 2,004
  Trophy Points: 280
  Kama mwanzo alitaka kukutana naye,na ni juzi tu,kwanini kabadili mawazo?

  Ama JK kawageuka?

  Maana JK hatabiriki kabisaa!
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mbatia anataka uza single yake sokoni! Huyu si anakesi na Halima Mdee?
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hawajamuhusisha kwenye mchakato wa kuchakachua katiba na ndio maana ameamua kuwasaliti jamaa zake....
   
 16. All TRUTH

  All TRUTH JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  lazima abadilike coz kafulila c unajua tena anataka kumpokonya huo uongozi.
   
 17. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Jamani, msirushe makombora hivyo. Hii ni kauli ya chama, na kwa mujibu wa katiba Mwenyekiti ndio msemaji mkuu wa chama. Ndio maana katumia wingi 'hatuna imani...'
  NCCR- Mageuzi HATUNA IMANI na CCM, kwa kuwa hatuwaamini hakuna cha kuafikiana nao. Mwenye imani na ccm atushambulie, bali wote wasio na imani na chama chenye magamba, karibuni tuunganishe nguvu.

  katiba ya magamba NO! katiba ya wananchi YES!!
   
 18. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  You now know the real one! si umesikia kutoka kwake mwenyewe?
   
 19. February

  February Member

  #19
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nadhani anataka kutudanganya tuamini kuwa ameokoka. Angeanza kuokoka kwa kufuta kesi ya kawe. Huyu jamaa ni mtu wa sisiemu tu. Nadhani nccr wakamilishe mchakato wa kumwondoa kwenye kiti na wamtake afute kesi ya kawe ili tuamini na akikataa wachukue kadi
   
 20. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,557
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Tamko kama hili alishalitoa kafulila...!
   
Loading...