Swali kuhusu:Muungano wa vyama vya Demokrasia Afrika(DUA) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kuhusu:Muungano wa vyama vya Demokrasia Afrika(DUA)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Nov 27, 2011.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu,hivi kikao cha muungano wa vyama vya demokrasia afrika kinachoendelea jijini dar kikishirikisha vyama toka nchi 22 chini ya uenyeji wa BAVICHA huhusisha vyama vya upinzani pekee?kama jibu ni ndiyo inamaana ni justfied kuwa vyama vilivyo madarakani afrika havina demokrasia?!na kama jibu ni hapana,hapa kwetu UVCCM wanawakilishwa na nani,maana chadema tumewasikia kina heche,zitto,deo wakitema cheche.
   
 2. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UVCCM wapo bize na uraisi wa 2015 mkuu, wanamuandaa raisi wao.
   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii ni muvu nzuri kwa cdm
   
Loading...