Amani yetu tz, imeshikwa na uvumilivu wetu watz, si serikali, wala chama, hata jeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amani yetu tz, imeshikwa na uvumilivu wetu watz, si serikali, wala chama, hata jeshi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abduel paul, Nov 27, 2011.

 1. a

  abduel paul Senior Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni sifa watanzania wanapaswa kusifiwa sana juu ya kudumu kwa amani tuliyo nayo, iko haja ya Jeshi, Serikali, Vyama, na Uongozi wowote upate kujua Amani iliyopo ni utashi na uvumilivu wa mtanzania, mifano iliyo hai imethibitisha ilo, kama vile yale yaliyotokea Libya, Misri na yanayo endelea Syria, hivyo kila atakaye thubutu kutaja amani kama mafanikio kimaendeleo basi ajue ni Mtanzania mwenyewe kahamua iwe hivyo yungali maskini na uongozi mbovu uliopo madarakani,wakati mwingine mtanzania kawa mvumilivu hata jeshi la polisi lilipotegemewa kutoa ulinzi na badala yake kuvunja amani lakini bado mtanzania amethamini uvumilivu, swali la uvumilivu utaisha lini.....!!
   
 2. a

  abduel paul Senior Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingawa nchi ina amani lakini kama utafanyika uchunguzi rahi, mioyoni mwa asilimia kubwa ya Watanzania hawana amani,
   
Loading...