BAWACHA yalaani wabunge wa CCM & CUF kupitisha mswada wa katiba mpya.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAWACHA yalaani wabunge wa CCM & CUF kupitisha mswada wa katiba mpya....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Nov 25, 2011.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Baraza la Wanawake wa Chadema-Bawacha limewalaumu sana na kuwalaani wabunge wa CCM na Serikali kwa upotoshaji wa makusudi juu ya muswada wa katiba mpya. Imelaani wabunge wanawake kushabikia jambo ambalo dhahiri litaathiri wanawake na watoto na walemavu.

  Imelaani wabunge wa CCM na CUF kuacha kujadili hoja na kujadili watoa hoja. Imeonya kuwa kama mambo yataachwa hivi, tutapata katiba mbovu kuliko ya sasa.

  Imelaani vyombo vya umma vinavyotumika kupotosha. Imewapongeza Ussu Mallya na Ananilea Nkya kwa kutoa elimu bora ya uraia kwa watu.

  BAWACHA imesema hayo kwenye mkutano wa waandishi wa habari leo.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Haya sasa CHADEMA Curbs sasa waunguruma kwa wala dili wetu wa CCM na CUF bungeni wenye ajenda moja tu; namna iliobora kuhujumu na kuudhalilisha 'UBINADAMU, HAKI NA UTU WA MTANZANIA' kwa faida binafsi za kuchumia tumbo kwa masikitikiko makubwa kwetu wananchi.
   
 3. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  One love BAWACHA uchungu wa mwana aijuaye mzazi
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  CUF walishaolewa na CCM kwahiyo ni lazima tu watamsikiliza bwana wao
   
 5. L

  Lua JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hawa nao wapo, nilishawasahau. hongereni kwa kuamka.
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Kumbe kuna Bawacha!
   
 7. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baraza la Wachagga Chadema, hiki chama kweli cha ukabila yaani kila sehemu Mchagga,
   
 8. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,847
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Duh Hii sumu Magamba wasiposhutuka!! Watakuwa wanarushiwa Mawe na wananchi kwenye Tume Yenyewe!!
   
 9. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baraza la Wachagga Chadema, hiki chama kweli cha ukabila yaani kila sehemu Mchagga, USSU MALYA, ANANILEA NKYA, hawa nao wachagga wanatumia taasisi za watanzania kwa faida ya CDM chama chao cha wachagga.
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Too myopic to mount a logical discussion on the JF daiz!!

   
 11. t

  thatha JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Bawacha hawajui kuwa wazazi wao wako ktk harakati za kuwekwa kinyumba ie nyumba ndogo adi watoe matamko ya aina hiyo?
   
 12. k

  kipinduka Senior Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 13. k

  kipinduka Senior Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawana jipya 2meshazoea chadema na upotoshaji ktk jamii alafu yawezekana ajenda ya mosh kwan weng wao ni wa huko na chama chao cha ukoo
   
 14. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wenzenu wakisoma nyie mnatafuta mahakama.....then magereza
   
 15. m

  massai JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  shule jamani,shule,....zingatieni na uthubutu achaneni na mambo ya kipumbavu ya ukabila na udini,hao wamama ni vichwa kuliko maelezo,vipi katika harakati zao umeona uchaga gani hapo ndio yaleyale ya magamba kufikiri kwakutumia masaburi?? Wenzenu wanapeleka familia zao shule nyie mnabaki kusubiri na kulalama,shauri zenu,jakaya wanae anawapeleka mambele kusoma nyie na upumbavu wenu mnabaki kulalama tu,karibuni chadema alakiniu kama mmnatakaka kubebwa pamoja na ujinga wenu,tafadhali msije kwani mtachemka chadema hakuna kubebana lazima uwe unauelewa wa kutosha na elimu pia. Umesha uliza mkoa wa kilimanjaro una shule ngapu mpaka za sekondari mpka una baki kulalama kuhusu elimu na maendeleo uchagani????fanya uchunguzi alafu pata elimu kama wewe hukusoma basi somesha wanao.
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kama ni hivyo basi UWT =Umoja wa Wasagaju Tanzia
   
 17. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  chadema haitochukua nchi kwani inaukabila la kichaga tena akina yesuu na maria hili lita haribu
   
 18. j

  jigoku JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkigoma bwana huna hata aibu?mngemaliza kwanza kuvuana magamba ndipo uje na hoja za kuchangia,maana hakuna chama Mfilisi kama CCM,hakuna chama cha kifisadi kama CCM,wabunge waliochoka wanatoka CCM,Mkigoma bisha juu ya haya
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  masala gulangwa.
   
 20. n

  nyangwe Senior Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawakuogopa umande na utawalia tu na hao unaowachukia na kuwakebehi
   
Loading...