Taifa linapoteza zaidi ya shs bil 64.8 kwenye ukwepaji wa kodi wa wahindi kupitia jeshi

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
Tanzania ni nchi iliyoanzisha mfumo wa kusamehe baadhi ya kodi wanazotozwa wanajeshi wa jeshi la Tanzania, kupitia msamaha huu wa kodi maduka na kampuni zinazotoa huduma ya bidhaa katika maduka ya jeshi yanaonyesha kila siku takribani msamaha wa kodi ukitolewa na TRA wa bidhaa mbali mbali zinazofikia shs bil 2 lakini katika mauzo yao ni bidhaa za thamani ya bil 1 ndio zinaonyeshwa zimeuzwa katika maduka haya ya jeshi.



maesabu(kwa mwaka yani siku 360) kwa kodi ya VAT

punguzo wanaloomba TRA

360*bil 2 *18%=bil 129.6

punguza halisi linalotakiwa

360*bil1*18%=bil 64.8

Faida wanayoipata kwa kukwepa kodi

bil 129.6-bil 64.8=bil 64.8
 
Laiti kila aliyepo mjini angekuwa na tabia ya kuwakumbuka ndugu zao vijijini basi kungekuwa na ongezeko kubwa la ukusanyaji wa kodi na matumizi mazuri ya tukipatacho.
 
Tanzania ni nchi iliyoanzisha mfumo wa kusamehe baadhi ya kodi wanazotozwa wanajeshi wa jeshi la Tanzania, kupitia msamaha huu wa kodi maduka na kampuni zinazotoa huduma ya bidhaa katika maduka ya jeshi yanaonyesha kila siku takribani msamaha wa kodi ukitolewa na TRA wa bidhaa mbali mbali zinazofikia shs bil 2 lakini katika mauzo yao ni bidhaa za thamani ya bil 1 ndio zinaonyeshwa zimeuzwa katika maduka haya ya jeshi.



maesabu(kwa mwaka yani siku 360) kwa kodi ya VAT

punguzo wanaloomba TRA

360*bil 2 *18%=bil 129.6

punguza halisi linalotakiwa

360*bil1*18%=bil 64.8

Faida wanayoipata kwa kukwepa kodi

bil 129.6-bil 64.8=bil 64.8

Hawa jamaa niwachangiaji wazuri sana wa ustawi na chama cha magamba. Last year kuna mmoja wa hawa maponjoro aliniuliza eti itakuwaje endapo CDM itachukua nchi, mimi nikamwambia itakuwa poa tu hasa kwa watu wema ila kwa waovu nadhani haitakuwa nzuri sana kwao. Aliniuliza tena, kwani sera yao ikoje juu ya watanzania wenye asili ya asia? Nikamwambia hawajasema lolote isipokuwa ninachojua ni kwamba hawatakubali kuwaona waasia wakihamisha utajiri wetu kwenda Canada na nchi zingine huku wakiwa wamejimilikisha nyumba zetu kati kati ya jiji tena kwa kubanana huku wakilipa kodi kidogo kama maskini wakati wanmiliki mahotel, viwanda, apartments, viwanda na makampuni ya utalii. The guy was little cunfused maana ndio anamalizia kujenga kiwanda na aliniambia huwa wanachangia chama tena kwa utaratibu maalumu!
 
Jamani naomba kujuzwa kwa sasa USD 1 ni sawa TSH ngapi? Please mwenye kujua "asante" naitanguliza.
 
Nikiwa Rais hapo 2035 nadili na hawa jamaa 1st...hii lax culture ya wahindi ndiyo chachu kuu ya mfumo wa kifisadi na umaskini wa watz kwa kudumaza maendeleo na kutufanya tuendelee kuwa ombaomba kwenye jumuia ya kimataifa
 
ch msingi tuanze kutoza kodi sawa kwenye maduka haya ya jeshi ila kodi hii inayotokana na wao kununua bidhaa katika maduka haya wapewe wanajeshi kama posho. la sivyo wanajeshi wetu watakuwa kama ni watumwa wa waindi na wanawatumia tu kukwepa kodi
 
Yaani inauma sama wakati nikiendelea kufuatilia habari hii nimepewa taarifa kwamba waindi awa wemepewa vibari vingine vya kukwepa kodi kwa jeshi la Polisi na magereza pia


Inauma kupita kiasi kuona jinsi tulivyokuwa malimbukeni na tunatumia vyombo vyetu vya ulinzi ili kufanikisha ukwepaji kodi wa waindi
 
Back
Top Bottom