Aibu ya mwaka; Bunge letu linapoenda garagazwa na Rais JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu ya mwaka; Bunge letu linapoenda garagazwa na Rais JK

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Ibrah, Nov 26, 2011.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Walipewa nafasi ya kujadili marekebisho ya Katiba; CDM wakaleta hoja zao kupitia Waziri kivuli wa Sheria; Tundu Lisu, Bunge likapokea hoja lkn badala ya kujadili hoja wakaleta vioja, wakaanza kumjadili Lisu na kupitisha huo mswada.
  Sasa JK anatakiwa kusaini ifikapo Dec 1. Kwa hali ilivyo, kuna dalili JK huenda asisaini na kurudisha mswada Bungeni ujadiliwe upya, maana hana chakupoteza, ni fursa kurudisha umaarufu wake maana hana cha kupoteza 2015.
  Aibu yaja Kwa Bunge, Wabunge wa CCM, CUF na Spika Makinda
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...labda, labda... kwa mara ya kwanza Mh. Kikwete atavaa kofia ya Urais na kuweza kukumbukwa kwenye vitabu vya historia ya ujenzi wa Taifa hili!!!
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu sidhani kama hilo linaweza kutokea, JK atasaini mkataba huo pasipo mashaka yoyote yale.
  Labda ungenipa sababu nyingine za kushindwa kusaini mswada huo.
   
 4. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Naamini JK atataka atuachie jema ambalo kwalo tutamkumbuka. Pili, shinikizo la kupinga kukimbizwa kwa marekebisho ya Katiba kutoka ndani na nje ya nchi limeongezeka. Mwisho, kulazimisha matakwa ya CCM kwenye suala hilo ni kuwadhulumu WaTz haki yao kujadili katiba yao laweza kusababisha vurugu kubwa zisizotazamiwa.
   
 5. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Alisha sema atasaini fasta
   
 6. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Alisema kabla ya ombi la CDM kukutana naye!
   
 7. I

  Isaack Binya Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yah inawezekana coz kwa mara ya kwanza nimemsikia mtu wa zaman wa CCM kutokukubaliana kabisa na mchakato wa katiba ulivyoenda,ni mzee Kitine nilimsikia Tbc kwenye This week in Pespective,nampenda huyu mzee coz kidole hua anakiita kidole na wala sio moja(anasema ukwel) hata kama issue imevurundwa na chama chake,sisiem wanabishana na ukwel ulio waz kabisa kwa kua wao ndio wenye serikali hivyo wanatumia vbaya madaraka bt siku znakuja!
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Muswada atausaini. Muswada haukutayarishwa na bunge umetayarishwa na JK(serikali) Kisha wakawapelekea rubber stampers wao. Kitendo cha kutousaini muswada ni kuwsaliti rubber stampers wa serikali (Wabunge wa CCM na CUF). JK atakachoweza kufanya ni kuusaini halafu wataurudishabubgeni kwa ajili ya ammendments kama wanaona kuna haja ya kufanya hivyo. Otherwise kusaini muswada si tatizo sana kwa JK tatizo ni mchakato wenyewe kukosa uungwaji mkono wa wananchi na wasomi. Ila kwa kuwa wao ni CCM watatengeneza katiba yao ya muda na huko mbeleni watanzania watakuji kuitrush na kutengeneza katiba ya nchi si ya chama cha siasa na kuiita ya nchi.
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280
  aibu mara ngapi?
   
 10. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Yeah. Kikwete akirudisha hoja bungeni kujadiliwa tena atakuwa amefanya jambo zuri na atapata distinction kama si credit. Akisaini atakuwa ameisuta nafsi yake kwani ninavo mimi amekwisha uona ukweli, ni yeye kuamua ama awaridihshe watu wa ccm au asimamie ukweli
   
 11. m

  mayoya Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huo ni mtihani kwake na serikali yake. Hofu yangu ni kuwa sisem na serikali ya JK ni wasanii sana wasije wakapiga usanii hapa.:A S 465:
   
 12. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mkuu Ibrah hawezi watia aibu wabunge wake,bado anawahitaji,atasaini. Lakini mwisho wa majadiliano yanayoendelea utafanyiwa marekebisho. Mazungumzo yanayoendelea muda huu yalipaswa kufanyika kabla muswada haujaletwa bungeni ili kupata muafaka lakini katika hali ya kusikitisha yakafanyika madudu kama tulivyoona!
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,533
  Trophy Points: 280
  Ibra, si mpaka!.
  Kwani Alhamisi iko mbali?. Ikifika na hajasaini ndipo njoo na hii hoja!
   
Loading...