Hivi Tanzania tumerogwa ama?

Cha Moto

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
945
153
Wana JF,Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu uongozi na siasa za nchi yetu,Sielewi ni nini kinaendelea hadi sasa:1. Majina ya viongozi wengi yametajwa waachie ngazi lakini bado wapo wanadunda Mf: Hosea (TAKUKURU), Ngereja,

Malima ( Wizara ya Nishati), Luhanjo, Jairo, Utouh, na wengine hawa wote wanakashfa mbalimbali.2. Wezi wa fedha za Umma wanadunda kitaa Mf: Rostam, Chenge, Lowassa, Shimbo, hakuna hatua zimechukuliwa juu yao3. Bei za bidhaa zinapanda kiholela, hakuna ufafanuzi wa kumlidhisha mTZ wa kawaida umetolewa4. Ukosefu wa ajira, na huduma muhimu kama afya5.

Wabunge kupokea posho kubwa wakati mwananchi wa kawaida hali ni ngumu kimaisha6. Rais, kutotoa majibu ya kero za wananchi.Na mengine mengi ambayo mnayajua.Hivi jamani tumerogwa hadi tumeshindwa kuchukua hatua ya kukataa HALI hii!!???

Me najiuliza tu, naomba mnisaidie kupata majibu waungwana wa hali ya mambo ktk Taifa letu!
 
Wote wanajuana! Nipige chini na mimi nakuharibia. Thats why the man on top hawezi fanya any shit coz hao jamaa ndio rafiki zake. No one cares in this country anymore!
 
Back
Top Bottom