Vyama vya siasa visiuteke mchakato wa katiba mpya.

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
katiba ya nchi si katiba ya vyama vya siasa,
vyama vya siasa visi "take" advantage kujitafutia umaarufu kwenye suala la katiba mpya,
hapa watanzania wote tuna nafasi sawa ya kuandaa tanzania yetu ya kesho,si jukumu la yule.
nawajua sana wana siasa kwa kuteka hoja kwa maslahi ya kisiasa,wanatabia ya kuteka hata misiba...
kila anayejiita mtanzania ashiriki mchakato huu ipasavyo ili tupate katiba ya wananchi inayotokana na wananchi wenyewe na si katiba kwa ajili ya wananchi.
Nawasilisha.
 
hii nayo News Alert?

au ndo mashikolo mageni? karibu JF.
 
Back
Top Bottom