PPT MAENDELEO twende lini ikulu kupiga juice?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
hiki chama kama mnakumbuka kilichukua /kilipata kura nyingi tu japo hakikuibuka na jimbo lolote . wananchi wengi wanatukubali / wanakubali chama letu . sasa Mziray twende lini ikulu kupeleka mapendekezo yetu ya katiba na kupiga makombe ya juice?
 
Ilikuwa twende baada ya KAFU ila intelejensia ya Ikulu imetupasha kwamba matunda yameisha.............KAFU hawakuwa kwenye budget ya juice...............Mkuu wa kaya alilalamika sana nahisi tutapatiwa ya ukwaju tukienda.Tunatafuta wajumbe tutimize column sis tunaenda na ujumbe wa watu 12 haitucopy ya wengine
 
Sisi tlp kesho tuna kikao cha kuchagua wajumbe wa kwenda magogoni. Kwa kweli siku 1 au 2 hazitoshi, tutamwomba jk aturuhusu tuishi pale japo wiki 1.
 
inasaidia kutoa unafuu kwenye bajeti ya lanchi ya vyama. jukwaa la katiba litapiga pilau kabisa tarehe 25.
aminia chadema kuanzisha mwendo mdundo wa kuhemea food state hse
 
hiki chama kama mnakumbuka kilichukua /kilipata kura nyingi tu japo hakikuibuka na jimbo lolote . wananchi wengi wanatukubali / wanakubali chama letu . sasa Mziray twende lini ikulu kupeleka mapendekezo yetu ya katiba na kupiga makombe ya juice?
Twende chrismass ndo kutakuwa na mapochopocho,hao waliofuata juice tutakuwa tumewapiga bao
 
Mziray mtu wa timing kweli, yawezekana anapanga kuua denge watatu kwa jiwe moja akienda Chrismas yaani kupeleka mapendekezo ya katiba, kusheherekea Chrismas na kutoa salamu za chrismas kwa Mkuu wa kaya.
 
hana longo longo nyingi huyu jamaa..si ulimuona siku ya kuapishwa JK
 
msimsahau na DOVUTWA FAHMI DOVUTWA...msanii wa karne!
Huyu siyo wa kumwamini sana kwani nafikiri hata Mkuu wa Kaya analijua. Akiahidi kwenda ikulu, nafikiri hawatamwandalia Juice kwani anaweza kugairi dakika za mwishoni kabisa kama alivyojitoa kwenye uchaguzi mkuu na kusababisha hasara kwa ikulu yetu.Huyu ni kumutayarishia maji tu ya kunywa.
 
Twende chrismass ndo kutakuwa na mapochopocho,hao waliofuata juice tutakuwa tumewapiga bao

Mbona mkulu hana cha Chrismas!maana yeye si wa imani hiyo! Chrismas ikulu labda ilikuwa kipindi cha St. Julius!
 
Nawasiliana na mwenyekiti wangu Mch. Mtikila kama anaweza kufungua kesi kuhusiana na hizi safari za vyama huko magogoni
 
Ivuga, katibu mkuu wa chama, hebu tupe taarifa tunaenda lini?
 
msimsahau na DOVUTWA FAHMI DOVUTWA...msanii wa karne!

Hilo Jina la kati ilitakiwa uliite kama walivyoliita tume ya uchaguzi (NEC-Ccm D) ndio inanoga mkuu,
ingawa walilikosea,
Aliitwa DOVUTWA YAHMI DOVUTWA a.k.a Mgambo bila kirungu!!
 
Back
Top Bottom