Mdahalo star tv live-Muungano na Tz tuitakayo.

Sharp lady

Senior Member
Feb 23, 2011
129
13
Hi wadau mdahalo wa juu ya Muungano na Tz tunayoitaka unaendelea live star tv, yupo Mh. Khatibu, Mnyika na kiongozi wa sheria. Mdahalo unaendeshwa na bw. Ayoub.
 
huyu Mh. Khatibi sijui alikuwa anaongea kitu gani. yaani ni ugolo mtupu kama sio mavimavi...! hajui kujibu maswali, yaani ilimradi kanyanyuka kasimama pale kwenye kipaza sauti tu basi. kweli CCM wana kazi kama wasemaji wao ndio hao! yaani hata kuongea hajui, sasa sjui kampeni zake huwa anafanyaje!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom