Beba BANGO twende kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Wale wote mlikua mmekusudia kuandamana kupinga mambo mbalimbali yanayofanywa na serikali mkanyimwa kibali na polisi kwa madai kuwa kuna tishio la AL-SHABAB wakati wa kuwakilisha maoni yetu umefika tena wametukaribisha wenyewe na kutuhakikishia hakutakua na AL SHABAB, hivyo nakuomba ewe MTANGANYIKA MZALENDO BEBA BANGO LAKO NJOO UFIKISHE UJUMBE WAKO SERIKALINI NA DUNIA NZIMA. hakuna kulala mpaka kieleweke, hawataweza kutumia nguvu yyt kwani kutakua na viongozi wengi wa kimataifa.
 
wapetukataza kuandamana bora tufikishe ujumbe wetu kupitia sherehe hizi za maadhimisho ya uhuru. lakwangu nitaandika TANZANIA INATAWALIWA NA MKOLONI MWEUSI "ccm"
 
Lakwangu ni
"CHANGES FOR NEW GENERATION"
Hivi kitaifa yatafanyikia uwanja wa taifa au wapi wadau.?
 
Back
Top Bottom