Marekebisho ya Katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marekebisho ya Katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Columbus, Nov 21, 2011.

 1. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimeipitia katiba ya Tanzania upya, nimekuta kuna baadhi ya vipengele vya kujadili
  1. Tume huru ya uchaguzi
  2. Umiliki wa ardhi
  Changia vingine>>>>........
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mambo ya viraka ndo hatutaki.sasa marekebisho ya nini?hapa kinachonuka ni katiba mpya ya wananchi tu.mia
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,789
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  3.madaraka makubwa ya rais
  4.aina ya muungano/kuwepoau kutokuwepo
  5.ukubwa wa mabaraza la mawaziri
  6.Roles za wakuu wa mikoa/wilaya-kuwepo/kutokuwepo
  7.mali zote zilizokuwepo kabla ya vyama vingi kurudishwa mikononi mwa wananchi kutoka ccm
  8.kuondolewa adhabu ya kifo
  9.ukomo wa ubunge na namna ya wapiga kura kumuondoa mbunge wao asiyewatumikia ipasavyo na au akipatikana na kashfa
  10.kifungocha maisha na kufilisiwa mafisadi
  ;;;;;;;;;;;; Endeleza
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  bwanae hatuhitaji marekebisho ya katiba iliyoonza TUNATAKA KATIBA MPYAAAAAAAAAA
   
 5. R

  Real Masai Senior Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapa hoja ni katiba myaaaaaaaaaaaa tu, jamani hoja ya vipengele ya katiba ya ss ni ya nini................HATUTAKIIIIIIIIIIIIIII
   
 6. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Subiri utoe maoni yako pale wakati utakapofika. Usituchanganye hapa!
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  katiba mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hili suala la mazingira mnasemaje !! ni suala pana lakini sio vibaya kama tutaanza na kuilinda misitu yetu kwa manufaa ya watoto wetu kwani kwa hali hii inavyooedelea misitu itageuka kuwa historia. Nayo iingie katibani.
   
Loading...