Kweli Maisha Magumu

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Hivi karibuni nilienda Mbeya, nikakutana na kijana wa Kisafwa aliyekuwa akiwapa burudani mafundi walio 'site' yangu. Kilio chake ni maisha magumu. Anaimba kama Lucky Dube katika wimbo wa Together as One. Ubora sio mzuri sana lakini sikiliza na wewe!!!
 

Attachments

  • Maisha Magumu.mp3
    1.3 MB · Views: 83
nampata huyo mshkaj,kuna siku aliwahi kuniimbia shop kwangu..lakin huyo aliyeigeuza ikulu kuwa pango la RIZ1 hana hata chembe ya huruma,anasema uchumi unakua kwa kasi..
 
na ili ni fundisho kwa watanzania,tutakoma watanzania wenzangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom