Posho kwa wabunge hazijapanda-katibu wa bunge Thomas kashilila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posho kwa wabunge hazijapanda-katibu wa bunge Thomas kashilila

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Dec 4, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  katibu wa bunge Thomas Kashilila amekanusha uvumi ulioenea hapa nchini kuwa posho kwa wabunge zimepanda.
  Akiongea na waandishi wa habari jijini DSM leo kashilila amesema kuwa hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika katika posho za wabunge na hao wanaozusha habari hizo ni sawa na radio mbao.posho za wabunge ni zile zile za zamani japo kumekuwa na mjadala mkubwa miongoni mwa wabunge wakitaka posho hizo ziongezwe.

  SOUCE;Taarifa ya habari,tbc na star tv.
   
 2. m

  macinkus JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mbona kwa semina ya jairo kila mbuge, pamoja na Anne Makinda na Mizengo Pinda walipokea "sitting allowance " ya shilingi 280,000. Semina ilikuwa ya dakika 40 tu.

  macinkus
   
Loading...