Seif Khatibu alipataje Uwaziri ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Nimekuwa kwenye mdahalo leo na kumuona huyu mzee ana mwaga misemo ya pwani tu anaruka point na kukazania mawazo yake ya kichama , nimebaki najiuliza huyu naye aliwezaje kuwa waziri kwa muda mrefu hivi ?
 
Huyo si ndio ametunukiwa shahada ya Uzamivu kwenye Kiswahili au? Alianzia UVCCM amekulia chamani
 
Huyo si ndio ametunukiwa shahada ya Uzamivu kwenye Kiswahili au? Alianzia UVCCM amekulia chamani

Hakika yule mtu nimeshindwa mwelewa kabisa .Hivi nyie na hasa mlio kuwepo chumbani pale au kwenye TV mlimwelewa
 
Ukiwa mtu uliyetumika kwa miaka kadhaa na serikali ya CCM halafu upewe kazi ya kujadili issue ya muungano ni mgogoro!Lazima utakosa cha kusema.
 
Nimekuwa kwenye mdahalo leo na kumuoa huyu mzee ana mwaga misemo ya pwani tu anaruka point na kukazania mawazo yake ya kichama , nimebaki najiuliza huyu naye aliwezaje kuwa waziri kwa muda mrefu hivi ?

Mkuu umenena huyu jamaa sijui anamatatizo gani...halafu nadhani amepata Phd juzi pale UDOM katika kiswahili..alianza kusoma tangu 2007.......na amemaliza mwaka huu.Kwa kweli anaboa sana na amewadhalilisha wazee kwa kiasi kikubwa.....na aliongea pumba moja mpaka watu wakam-mind ati vijana wa Tanganyika wanaidai Tanganyika wakati wamezaliwa ikiwa haipo..kimisingi kamanda John Mnyika aliwafunika sana...hata yule mwanasheria amezidiwa uwezo wa kuongea na kujipanga na Kamanda Mnyika...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom