Miaka 50 ya uhuru

KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,649
6,088
Kuna mwanamke TBC alikuwa anaimmba taarabu mkesha wa miaka 50 ya uhuru, mwimbo mzima anamsifia Kikwete. Plaliponikera, eti MISHAHARA MIA KWA MIA KIKWETE AMEONGEZA. I see, wapi mishahara iliwahi kuongezwa mia kwa mia. Yaani ningekuepo ningemmwagia upupu
 
Alafu bila aibu anasema. Kikwete endelea kudunda wewe ni kiongozi imara. KWELI????????????????????????????????
 
Kuna mwanamke TBC alikuwa anaimmba taarabu mkesha wa miaka 50 ya uhuru, mwimbo mzima anamsifia Kikwete. Plaliponikera, eti MISHAHARA MIA KWA MIA KIKWETE AMEONGEZA. I see, wapi mishahara iliwahi kuongezwa mia kwa mia. Yaani ningekuepo ningemmwagia upupu
...Yawezekana, alimaanisha mshahara wa taarabu aliyokuwa akiimba!
 
Ni kweli Kikwete ni kiongozi imara! Siasa mchezo mchafu,kwani yeye hana mazuri? Kweli nimeamini mla ndizi husahau ila mtupa maganda kamwe hatosahau.Kufadhili mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi. Kuna watu usiku na mchana hawalali ili kuhakikisha nchi haitawaliki na Kikwete anashindwa kufikia malengo aliyoyaweka. Ukweli upo wazi lakini Wanafiki na Wazandiki hawakotayari kuuona.Kweli mtoto asiyewako hata umtendee wema kwake unamuonea na kumnyanyasa. Ndivyo mlivyo.k
 
Kuna mwanamke TBC alikuwa anaimmba taarabu mkesha wa miaka 50 ya uhuru, mwimbo mzima anamsifia Kikwete. Plaliponikera, eti MISHAHARA MIA KWA MIA KIKWETE AMEONGEZA. I see, wapi mishahara iliwahi kuongezwa mia kwa mia. Yaani ningekuepo ningemmwagia upupu

Hajui maana ya mshahara.Msamehe tu.

Back
Top Bottom