Morogoro kwawaka moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Morogoro kwawaka moto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPANDA Jr, Dec 8, 2011.

 1. MPANDA Jr

  MPANDA Jr JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,299
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Waswahili husema "Unaweza kuwadanganya watu mara nyingi, lakini siyo siku zote". Usemi huu umajithibitisha jana ndani ya Manispaa ya Morogoro baada ya Makamanda wa CHADEMA kuvamia mji huu na kuvuruga kabisa hali ya hewa ya Chama Cha Mapinduzi.

  Kamanda HYNESS SAMSON KIWIA wa Ilemela akiongozwa na Jemedari SUZAN LIMBWENI KIWANGA yule wanayemzushia kuwa alimtia kizuizini DC wa Igunga.

  Kulikuwa na Semina ya katiba ndani ya B-Z Hotel, Pipo kama 500 zilihudhuria na baadaye jioni BONGE la Mkutano. Mzee wa mabasi mekundu Abuhood nusura ajivue Gamba.
   

  Attached Files:

 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Karibu Jamiiforums...nakushauri uende kwanza kule kwenye jukwaaa la utambulisho.
  Pia kumbuka kupitia Jamii forums rules
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  hongereni,.mwambieni Mzee Aboud ajivue gamba,uchaguzi ufanyike fasta
   
 4. A

  Ame JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Morogoro sijui kuna tatizo gani jamani; they have very potential people ambao kwa mapenzi mema walijitolea kuwasaidia lakini ikawa kama vile lulu ilitupwa kwa nguruwe nao wakaikanyaga bila kujali thamani yake.

  Mgombea wa CCM Ubunge Prof. Romanus Ishengoma angeipeleka Morogoro to the next level na pengine leo huo mji ungekuwa gumzo Tanzania. Akatokea prof mwingine mchapakazi na ambaye anajulikana kwa comitment yake kubadili kila idara anayopitia kugombea umea Prof. Ndelelio Urio again wana CCM Morogoro wakampiga chini (CCM hapa ndipo huwa inafikia mm kuichukia kupita maelezo kwani hawako objective wako ki-maslahi binafsi zaid)i.

  Hawa watu naamini kabisa ni kwasababu ya ubabe wa CCM na kwakua wako at a disadvantage age (old) hawawezi ku-take risk otherwise kama CHADEMA ingekuwa na nguvu Morogoro wakati huo (na ndiyo maana CCM ilikuwa na kiburi chakufanya hayo) na kama hawa wangepata nafasi ya uongozi basi Morogoro could have been another story today.
   
 5. k

  kalanjadd Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iko kazi
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135


  Mswaada wa chama kinachoshikiria jimbo kuteua mrithi utapelekwa bungeni kwa hati ya dharula na ndiyoooo zakufa mtu toka kwa wabunge wa magamba na zeni jk atakuwa dodoma na kuusaini kuwa sheria siku hiyohiyo,wale mkuu hawataki kusikia uchaguzi mdogo kwa sasa
   
 7. I

  Inkognito Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wa Morogoro mnapaswa kubadilika jamani,ukiachana na wazee wa magamba waliojitokeza kugombea kupitia chama cha Magamba lakini kulikuwa na kijana msomi na Mtulivu,mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu aliyejulikana kwa muda mfupi sana na kuyafanya magamba yasipate usingizi katika kipindi chote cha Uchaguzi wa mwaka 2010, hapa namzungumzia kamanda Kijana Amani Mwaipaja.
  Kama Chadema Morogoro ingekuwa imejipanga vizuri, hakuna mashaka kuwa Aziz Abood asingeambulia kitu licha ya kuendelea kuwadanganya waluguru kwa kuwapa mabasi ya kuzikia watu.
  Kamanda Amani Mwaipaja aliushangaza umati kwenye kampeni zake za mwisho akiwa jukwaa moja na Dokta Slaa katika viwanja vya Fire-Morogoro,nakumbuka siku hiyo nilikuwa nipo mkoani humo, alipewa dakika tatu tu za kujinadi kwenye umati wa zaidi ya watu elfu arobaini,
  Kati ya wagombea ambao kimsingi alikuwa bora kuliko wagombea wa vyama vingine na kwa kutumia taaluma yake alimweka Aziz Abood kwenye wakati mgumu pale alipomwekea pingamizi kwenye tume ya uchaguzi lakini kama ilivyo kawaida ya wachakachuaji, wakachakachua mpaka pingamizi za Mgombea wa Chadema.
  Nawashauri Chadema wajipange kwa uchaguzi ujao, naamini wakikaza buti sasa watalichukua jimbo la Morogoro kwa kishindo.
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Huyu ni mwanajamii forums muda mrefu tu ila amebadili ID ili asijulikane kwa kuongelea kitu ambacho siku zote alikuwa kinyume chake
   
 9. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Iwewe isiwe watu wa morogoro watabadillika tu. Muda si mrefu magamba yatakosa chao.
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  wewe jamii forums rules unazijua?? au unaongea pumba zako kama kawa!!!
   
 11. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu umeongea pointi moja kubwa sana. Inashangaza kuona CCM walimwacha professa wakamchukua Division 0 ya Forest Hill, mtu ambaye hata kuongea na wananchi ni issue. Ile kusema tu "Kidumu chama cha mapinduzi", alikuwa anasoma, sasa kuna maendeleo hapo?
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CHADEMA HOMA KALI KWA MAFISADI NDANI YA CCM NA MIPANGO YAO MIZIMA YA KUTAKA KUJIHODHISHA MADARAKA ISIO YAO KULINDA 'MASLAHI YA VIKUNDI' BADALA YA MASLAHI YA UMMA

  CHADEMA moto mkubwa wa mabadiliko ya kweli usambae kote nchini; kijiji hadi kijiji, kichwa hadi kichwa mpaka somo zima litakapoeleweka.

  Ndio, nasema kwamba nalo somo la aina ya BIASHARA iliofanyika siku za hivi karibuni kati ya Bunge kupitisha Muswada Haramu kwa manufaa ya wachache kule Ikulu Magogoni kwa maelewano ya wabunge wa CCM na CUF waliopitisha hiyo sheria haramu kurudishiwa asante kwa Rais Kikwete kuwapandishia posho zaidi ya mara 3 kwa kutimiza wajibu wao tu kukaa bungeni.

  Maslahi ya Umma mbeeeele kama tai katika mafunzo haya kote nchini!!!!!!!!!!!!
   
 13. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  katika wote ulio wataja,mashine hapo ni Prof Urio,huyo bwana ni kiboko namkubari anauwezo wa khali ya juu, ni mtu wa kujitoa na ukitaka kuona hayo nenda Mazimbu campus jamaa ameibadilisha tofauti na ilivyokuwa mwanzo

  Juu ya wao kupigwa chini ni kwamba zile kura za maoni zilikuwa ni za kugawa rushwa sana na wamoro wngi wapo kipesa zaidi hakuna jingine pale,ukiwa na pesa moro unapata nafasi ya kuongoza
  pale sikilaumu CCM kwani kura ya maoni ndio iliyoamua,ila wamoro wanahitaji kuacha tabia y akupenda sana pesa kuliko kuangalia uchapakazi wa mtu
   
 14. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa mji kasoro bahari ni sawa tuu..
  wewe fikiria mtu akijitahidi kuja mjini moro toka milima ya uluguru, wenzake huko mlimani wanaanza kumshughulikia!!
  Yaani ni mambo ya ajabu kabisa,
  ..kwenye mazingira haya, mabadiliko/maendeleo yatapatikana lini??​
   
Loading...