Edward Moringe Sokoine na Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,203
4,207
Wana JF,nimekuwa nkifuatilia sana mijadala ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ila nimeshangazwa na jinsi ambavyo Hayati Sokoine aidha hajaongelewa kabisa ama ameongelewa kidogo sana..
Je ni kweli kuwa mchango wake kwa Taifa hili ni mdogo kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom