Wimbo wa Tanganyika 1961-1963

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Naomba mwenye nao wimbo wa tanganyika anisaidie niomboleze kifo cha nchi yangu ya Tanganyika!
 
THE DAY TANGANYIKA ATTAINED HER INDEPENDENCE (Michuzi Blog) - YouTube na hii ndio ilikuwa Bendera yetu kabla ya Uhuru
tz~tgclr.gif
 
Wimbo ni ule ule tunautumia leo ila nami sikusikia kama walisema Ibariki Tanganyika..uko mwisho wa hiyo video...

Hivi na wewe unataka tanganyika mkuu??

utakuwa unamkosea nyerere ndugu yangu..nyerere ameunda Tanzania (muenzie huyu kipenzi chenu au vipi??)
 
Hivi na wewe unataka tanganyika mkuu??

utakuwa unamkosea nyerere ndugu yangu..nyerere ameunda Tanzania (muenzie huyu kipenzi chenu au vipi??)
Hapana siipendi Ttanganyika lakini maadam wewe umeitaka Zanzibar yako kwa nini nami nisiitake Tanganyika yangu.. haaaa!

Tuache utani mkuu wangu UHURU wa Tanganyika sio kwamba tunasherehekea bali tunaadhimisha siku hiyo haihitaji kufikiria mengi yasiyokuwa na maana kwa sababu tunaadhimisha kifo cha Nyerere na Karume iweje isiwe deal ktk hayo lakini hili la Tanganyika linawapa shida? Tuna Uhuru wetu kuadhimisha iwe kwa maandamano ama sherehe haina taabu kama tunavyoadhimisha MAPINDUZI ya Zanzibar kwa sherehe kuna ubaya gani?
 
Tanganyika, Tanganyika, naku love kwa moyo wote, inchi yetu Tanganyika, jina lako litamu sana. Huo ndo ulikuwa wimbo wa wadanganyika miaka 50.
 
Back
Top Bottom