Lowasa apanga maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa apanga maandamano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Senator p, Dec 7, 2011.

 1. S

  Senator p JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakat Chama cha chukua chako mapema kilipokutana mjini dodoma ili kupitia maazimio likiwemo swala la kuvua magamba,ambapo kulikua na uwezekano wa Lowasa kutoswa.Imeshndikana kwa kile kilichojificha,ambacho hakikusemwa adharan.Lowasa alikua ameanda wa2 toka mikoani ili kupinga yy kufukuzwa.taarifa zinadai kama chama kingemtimua wa2 wangeandamana kupinga ukumu mkoan dodoma na dar.Wakat wafuas wa chama cha chadema wangeandama kupinga serikal kuwapa kibal cha maandano wafuas wa lowasa.
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Mengine mnamsingizia don king.....
   
 3. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hana uwezo mkubwa kiasi hicho kwa sasa!
   
 4. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapana siamini hii ni ya kutoka kichwani to JF .......
   
 5. L

  LowasaSupporter Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani watu tunajua ya kuwa ni ushabiki na chuki binafsi za akina Sita, Ninauye, Membe, Kikwete, Nyalandu na wengine wengi ambao wamezijenga kwa Lowassa. Na pia tukubali ya kuwa uwezo wa Lowassa kikazi unawapa taabu hawa jamaa. Yupi kati ya hawa ni msafi? Membe ambaye amechukua pesa kutoka kwa Quaddafi ili kujikuza kisiasa hapa Tanzania, Sitta ambaye anasafarisha magogo nje ya Tanzania, Kikwete ambaye anachakachua nchi kupitia kijana wake Ridhwani? Nyalandu ambaye amejenga jumba kwenye kiwanja kichotengwa kwa ajili ya ujenzi wa dispensari? Yupi anaweza kumtupia mawe akisema mikono yake ni ya haki? Nadhani baadhi ya watanzania tumekuwa wanafiki sana, chuki hii kwa Lowassa imeanza kufifia na hakuna mwaka mmoja zaidi wimbo huu wa kumchafua Lowassa utakuwa unakubalika tena na watanzania. Yaliyopagwa na mungu binadamu hawezi kutegua, kama Mungu anataka Lowasa kuwa rais wa nchi hii atakuwa, wala siyo hao wenye kuvaa ngozi ya kondoo wakipita wakisema huyu hafai, huyu hivi, yule vile, kama ni fisadi toeni ushahidi. Msije mkakuta mnatoa hukumu pasipo haki....Msihukumu msije mkahukumiwa kwa kukosa kiongozi thabiti...Msidanganyike na hawa wenye hila binafsi akina Sitta, Membe na kundi lake?
   
 6. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Uafikiri kwa Kutumia Masaburi!Tumiaga na Ubongo
   
 7. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Oh..kumbe ni tetesi..
   
 8. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwani lazima wote tupost thread humu?
   
 9. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,565
  Likes Received: 624
  Trophy Points: 280
  mhh, kazi kweli kweli mpaka kufika 2015 kuna mengi yatakuwa wazi!!
   
 10. S

  Stany JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Asiye na dhambi na aanze kurusha jiwe.
   
 11. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  So what?
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Halitarushwa hata jiwe moja!
   
 13. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Hongera sana kwa kuwa muwazi kiasi hicho kwa kujitambulisha kuwa wewe ni lowassa suppoter!!
   
 14. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Inaonekana wewe ni EL mwenyewe na umeamua kuja mwenyewe ili ku bit your own drum. Endelea kumsupport tu ila mwamuzi ni sanduku la kura kunako 2015
   
 15. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu baba ana Roho ngumu kweli.
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,616
  Trophy Points: 280
  Lowasasupporter, kwanza asante kwa hili.
  Humu jujwaani ni wachache sana wenye objectivity, impartility na truthfullness za ukweli ndani ya nafsi zao!. Wengi ni mashabiki maandazi wa kufuata mkumbo, majungu na chuki binafsi dhidi ya EL.

  Mungu aliye juu, atamtumia EL kuwapatia ushuhuda kuwa yeye ni Njia, Kweli na Uzima kwa kuwathibitishia Watanzania, "Jiwe Walilolikataa Waashi, litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni!.

  "Lowassa ni Mwamba, na Juu ya Mwamba huo, Mungu atalijenga taifa lake la Tanzania"!.

  Mimi sio mshabiki wa chama chochote!. Nasimama kwenye kweli, japo Lowassa sio malaika, na asiye na dhambi CCM, awe wa kwanza kumtupia jiwe!.

  Najua wako mtakao sema nimelipwa!. Mimi nasimama kwenye kweli tuu na Hii itabaki kwenye hansard za jf siku ukweli utakaposimama!.
   
Loading...