Mwisho wa Kufikiri kwa Watawala wetu ndiyo Huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwisho wa Kufikiri kwa Watawala wetu ndiyo Huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIJIGOJUNIOR, Dec 8, 2011.

 1. K

  KIJIGOJUNIOR Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikiwa nimesafiri usiku wa jana kuja Mza, nimefuatilia kwa karibu sana sakata la Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha Samson Maingu Mwigamba ambaye leo amepelekwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akishitakiwa kwa makosa mawili, kosa la Uhaini na kosa la Uchochezi. Nimetafakari sana uwezo wa waliolishughulikia suala hilo na kumtuhumu kwa makosa hayo mawili. Kwa hakika nimeshaujua mwisho wa kesi yenyewe. Katika kutembelea Wikipedia Treason (Uhaini) umeelezwa kuwa ni

  "In law, treason is the crime that covers some of the more extreme acts against one's sovereign or nation. Historically, treason also covered the murder of specific social superiors, such as the murder of a husband by his wife. Treason against the king was known as high treason and treason against a lesser superior was petty treason. A person who commits treason is known in law as a traitor.

  Oran's Dictionary of the Law (1983) defines treason as "...[a]...citizen's actions to help a foreign government overthrow, make war against, or seriously injure the [parent nation]." In many nations, it is also often considered treason to attempt or conspire to overthrow the government, even if no foreign country is aided or involved by such an endeavour."

  Je ni kweli kilichoandikwa na Samson Mwigamba kwenye makala yake ni uhaini?
  Hofu ya watawala wetu inatoka wapi? Kweli naanza kukubaliana na Masaburi kuwa wengi wa watawala wetu wanafikiri kwa kutumia makalio. Kwa akili ya kawaida ya any sensible lawyer, you can not charge a person kwa uhaini kwa makala ile. Wanazidi kumjenga kisiasa na kumpa umaarufu.Tutapambana hadi kieleweke. Tujiandae kupambana Mahakamani kwa hoja

  Safarini UK
   
 2. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu tujuze ni makala ipi ambayo inamhainisha. Mimi nilikuwa kijijini ambako hakuna umeme wala media.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Wanafikiri kwa kutumia masaburi hawa ndiyo maana wanakurupuka, lakini mwishi wao hauko mbali, ngoma ikilia sana karibu inapasuka.
   
Loading...