Waziri wa JK akimbia wanafunzi wa muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa JK akimbia wanafunzi wa muhimbili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakabana, Dec 8, 2011.

 1. m

  mwakabana Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna waziri mmoja anaitwa Prf Makame Mbalawa alikuwa amekuja muhimbili university kuja kujionea mambo ya miaka 50 yao, Baada ya kufika akakutana na mabango ya wanafunzi yenye ujumbe kama ifuatavyo

  1. WANAFUNZI WANAPINGA ONGEZEKO LA POSHO ZA WABUNGE
  2. CHAMA CHA WANAFUNZI KILIFUTWA(MUHASSO) NA MANAGEMENT UNAMUOMBA ATOLEE TAMKO
  3. WAGONJWA WANALALA CHINI KWENYE HOSPITALI KUBWA YA TAIFA (MUHIMBILI)

  CHA KUSHANGAZA JIBU HAKUTOLEA HAYO MAMBO BAADAYE AKAITA FFU ILI WAMSAIDIE KUTOKA, yani ameondoka mazingira ya ujanja ujanja.

  Sasa hiil serikali ina watu maprofesa ambao hata kuzungumza na wananchi wao wameshindwa, Ila kikubwa media zilikuwepo hope ujumbe utafika nawaomba wanafunzi wa elimu ya juu tulipinge hili ili tuoneshe kuwa hela za walipa kodi tunazitumia kwa kuwatetea.

  JAMANI HIYO MIPOSHO WAPUNGUZEEEEEEE yani ukija muhimbili its sad kuona watu wanalala chini na wengine mzungu wa nne while wengine wakikaa kwenye viyoyozi tuuu kilo tatu per day
   
 2. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wooow, inapendeza vijani wa wameamka na wanatetea HAKI na UKWELI kwa uwazi
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Yu said.
  Shame on them who refuse to talk with students.

  Madai ya msingi ya hao wanachuo ni yapi?
   
 4. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mngeuliza vizuri labda hiyo 'Prf' ni kama ile ya maji marefu! Sasa nyie mnamuuliza miswali migumuuuu inayomzidi hadi umri...lol Next time muandae mayai-viza mnampa mtu kipondo kwanza halafu anajibu maswali yenu kabla hajaita hao policcm.
   
 5. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  FFU wana kazi sana kipindi hii
   
 6. M

  Makomu Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyo ya kawaida leo kuanzia majira ya asubuhi wanafunzi wa chuo kikuu Muhimbili wameonekana wakidai kupinga ongezeko la posho ya wabunge kwa 154%. katika maandamano hayo walikuwa wamebeba jumbe mbali mbali zikihoji kitendo cha wagonjwa kukosa madawa, kukosekana hata nguo za kuvua kipindi cha upasuaji, wagonjwa kulala chini ktk hospitali ya taifa huku watu wengine wakiendelea kujilimbikizia mali kuwa si sawa. hata hivyo wliendelea kudai kufutwa kwa chama chao kwa miezi sita tangia mkuu wa chuo afanye hivyo licha ya wanafunzi kwenda mahakamani kupinga kufutwa kwa chama chao, wanadai mahakama inachelewesha haki yao na ukandamizagi umezidi. ni chuo kipi duniani ambacho hakina serikali ya wanafunzi, huu ni uonevu mkubwa, posho ya siku tatu ya mbunge ni mshahara wa dactari mwezi hii si sawa!!!
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wasomi wetu wa miaka hii vyuoni ni bure kabisa; mpaka wawe wameguswa wao tu kimaslahi ndio uwasikie. Kumbe wanafunzi wa Vyuo Vikuu bado tunao Tanzania pamoja na hizi dhulumu zote dhidi ya Umma wa nchi hii?????????
   
 8. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  The only soln ni kuwa na maandamano ya kuondoa uongozi wa kitaifa uliopo, hawajui wanacho fanya, wao kazi yao ni kuingia mikataba mibovu , na kupokea miradi ya maendeleo na wana chukua fedha wanatumia wao binafsi halafu zigo linakuwa la nchi, SHAME ON KIKWETE NA SERIKALI YAKO.
  Mii nimesha sign kufa kwa ajili ya nchi yangu, nikifanikisha hili najua watu wataishi kwa amani, nchi gani inatumia hela za kodi kufanya anasa huku watu wakifa kwa kukosa madawa hospalin?
   
 9. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Source. ITV
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Muwe mnasubili basi mpaka habari yote iishe ndio uanzishe thread, au siku hizi kuna malipo kwa muzisha thread wa kwanza? mbona usemi madai yao mengine ya kupinga kuvunjwa kwa serikali yao ya wanafunzi?
   
 11. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wengine hatuna umeme tuwekee full data mkuu siyo kutupaka shombo tu
   
 12. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dah watu wana viherehere vya kuanzisha thread!! Mods anatoa bonus nini? Hata haieleweki yani
   
 13. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 9,967
  Likes Received: 10,114
  Trophy Points: 280
  Hyo ndio inatakiwa, wamezoea kupeana uongozi kiushkaji wacho wawaharibie kwa hao wazungu ambao ndio wanawajibika kwao na sio kwa wananchi
   
 14. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Nimeiona hii sio siri ni aibu kubwa sana kwa serikali na huyo balozi wa sweden..wana Muhas leo wamechachamaa sio mchezo..
   
 15. shaqlim

  shaqlim New Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tulikua tunasubiri wakati muafaka wa kuuonyesha ulimwengu jinsi gani udhalimu umekuwa ukiendelea hapa muhimbili, kama ni kufika katika ngazi zote husika tulishafika na wakatupuuzia, leo walijileta wenyewe ONE MISTAKE ONE GOAL! na bado!! mpaka wajue kuwa ZAMA HIZI NI ZA HESHIMA SIO UWOGA!!! KWA HAKIKA UNGEKUWA MUHAS HATA WEWE USINGEWEZA KUVUMILIA KWA KIWANGO TULICHOVUMILIA SISI!!!!! TUMEKOSA UWAKILISHI WA WANAFUNZI KWA MIEZI SITA SASA!!! WAMEPITISHA MAAMUZI MENGI YA KIFISADI BILA AIBU NA WAMEFIKIA HATUA YA KUTUPELEKESHA HATA HATUJUI MATOKEO YA MITIHANI TULIYOKUWA TUKIIFANYA ZAIDI YA KUAMBIWA UMEPASS AU UMEFAIL!!!! HAYO NI MACHACHE TU!!!! ELEKEZENI MACHO YENU MUHAS!!!! MENGI YATAZIDI KUTOKEA MPAKA UDHALIMU UTAKAPOISHA!!!! STYLE YETU NI HII HII SASA!! WAKIJA WAGENI TUNALITIFUA!!!!
   
 16. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mods tafadhali, unganisheni hizi threads, hadi sasa nimeziona 3.
   
 17. d

  dada jane JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoja nisepe maana hata habari yenyewe inahusu nini maana kangeleja kapo kwetu.
   
 18. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hii imekaa vizuri
   
 19. H

  HEMA Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanafunzi wa Muhimbili wamekuwa wasomi wa kwanza kutoka kwenye vyuo vikuu vyetu kutangaza mgomo kwa kile wanachodai wabunge kuongezewa posho ili hali wanafunzi wanapewa kiwango kidogo cha mkopo kisichoweza kukidhi hata gharama za utafiti, malazi n.kSource ITV saa 2 usiku huu.
   
 20. JUKUMU

  JUKUMU Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Migomo isiyo endelevu na yenye kuisha baada ya masaa au siku kadhaa me nawaita wanafiki wote wanaoshiriki,. Eti mnagoma kisa wabunge wameongezewa posho, hebu turudi kwenye hali halisi ya watu wengine, kwa mfano...mbona Director of Tanroads anilipwa 15million per month,Gavana wa bank kuu analipua 13million per month,Commissioner General wa TRA and D.G wa Tanapa etc wanalipwa 10million and above with free cars and houses,sasa why wabunge wasilipwe hizo?...hawa wengine hawa tumii pesa zetu and who are they?.....nikikupa budget ya state house siutachukia (just president clothes allowence )

  JAMANI TUMIENI USOMI WENU KUONA MBELE NA KUFIKIRIA NJE YA BOX, KUNA BIG GAP SANA KATI YA MTANZANIA WA KAWAIDA NA YULE AMBAYE KFANIKIWA KUWA KWENYE MFUMO. ME NITAWAUNGA MKONO TU ENDAPO KUTAKUWA NA MGOMO WA KITAIFA UNAONGALIA PANDE ZOTE NA SIO KUSUBIRIA TUKIO KUTOKA KWENYE MEDIA AFU MNAKURUPUKA.

  THINK AGAIN=FIKIRIA TENA.
   
Loading...