Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jeuri ya pesa na kufuru ya matumizi makubwa ya mabiloni ya fedha anayotumia waziri huyu yameleta taharuki kubwa hapa Mwanza. Kwanza jengo la magholofa mawili yaliyoungana lilopo ktk kiwanja namba7...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
wanazuoni hawa wapo kwny ibada ya jumuiya wa wanafunzi wakristo hapa udom.na prof mihanjo ndy anatoa mada na anawaasa wasomi kutokua watumwa ndani ya nchi yao kama ilivyokuwa wakati wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu nashindwa kumuelewa huyu Dr Lwetama nae amejiunga na kundi la wapotoshaji kwamba eti tunasherehekea Uhuru wa Tanzania bara na kwamba wanaosisitiza ni Tanganyika wana ajenda za kisiasa, je ni...
3 Reactions
99 Replies
10K Views
Wana Jamvi, Kuna kila dalilil CCM kupasuliwa na mjadala wa Richmond. JK ametuhumiwa, na akanyamaza. Bila shaka atakuja na suluhisho zimamoto kama kawaida, ama la kumfukuza kinyemela Lowasa kwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Hatma ya Jairo, Luhanjo mkononi mwa Pinda Na Mwandishi Wetu *Bunge lasema limemaliza linasubiri maamuzi ya serikali *Wanasheria: Wabunge walikosea njia kuandaa taarifa ya kamati Majira SIKU 15...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
huyu mzee ni mbunge wa longido.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Posted on December 8, 2011 by zanzibaryetu Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Wawekezaji Zanzibar (ZATI), Simai Mohammed Said akisalimiana na Prince Charles alipowasili nchini Zanzibar katika ziara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mwenye kujua kiasi kilichotumika kwenye maandaliz ya birthday ya marehemu (Tanganyika), anijuze. Pia swala zima la hao watoto, je wanapewa kiasi gani? maana kazi wanayofanya si mchezo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Yes,.. Wengi wenu leo hamjaenda kazini kwa sababu ni "Siku ya uhuru" wa Tanganyika na specifically mna sherehekea kufikisha miaka hamsini (50) ya uhuru huo. Binafsi sioni tofauti kati ya leo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
this information is from a reliable source and is true. HE Rustam Aziz has no shelter of his own in Igunga. hana hata banda la kuku. hii ndiyo Tz.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Aboud Jumbe ndiyo lilikuwa chaguo la Mwl Nyerere Kurithi urais wa Tanzania, na hii ilikuwa ni siri kubwa sana kabla ya Mwl. Nyerere kung'atuka madarakani - Butiku
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Waziri mkuu wa zamani Dk. Salim Ahmed Salim Dk. Salim: Chonde, chonde na Katiba Watanzania wa pande zote mbili za Muungano wana nafasi kubwa ya kutoa maoni yao kwa uhuru juu ya aina ya muungano...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Uwezo upo,nia ipo na sababu pia ipo;jimbo la Songwe wilaya ya Chunya.Jeuri hii inatokana na ushawishi mkubwa nilionao naomba wazee kwa vijana mnipe ushirikiano
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tunaposherekea miaka hamsini ya Uhuru na uwepo wetu kama taifa nina maswali machache ambayo ningependa wasikilizaji wangu wajiulize. Je tunayo sababu kweli ya kuadhimisha? Tunaadhimisha miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakika mtu huyu amepania kuona kama anaweza kuwarubuni kwanza wanaCCM wenzake na hatimaye Watanzania ili awe Rais wa Nchi hii.Ninachukizwa sana na harakati zake za kutafuta uhalali wa kurudi ndani...
12 Reactions
85 Replies
8K Views
Zambia President Michael Sata is sworn in BACKGROUND: FINANCE BANK OF ZAMBIA Finance Bank Zambia Limited (FBZ), commonly referred to as Finance Bank, is a commercial bank in Zambia. It is one...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Nipp kwenye viwanja vya tanganyika pekas kawe katka maazimisho ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa tanganyika ila nasikitika sana watu wote waliopo hapa wamevaa mavazi ya ccm ambayo mwalimu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
*************************************** SOURCE: TANZANIA DAIMA DATE: DECEMBER 08, 2011 (Today) PAGE: FRONT PAGE SUBHEADINGS: Wahofia kuvunjika amani, Washangazwa na Uamuzi wa Bunge, Wasema...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Nina mashaka sana endapo JK atatufikisha 2015,changamoto za serikali na chama zinazomkabili na swala la wananchi kukosa imani naye baadhi ya mambo ambayo ni changamoto kubwa kwake,serikali...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
mabadiliko ya katiba zanzibar yamechochea kwa kiasi watanzania bara kuanza harakati za kuitafuta tanganyika yao, mabadiliko hayo ilikuwa na kama message kwamba sisi wazanzibar wao watanganyika ....
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…