Budget ya maandalizi ya miaka 50 ya uhuru

JUKUMU

Member
Apr 5, 2009
76
31
Jamani mwenye kujua kiasi kilichotumika kwenye maandaliz ya birthday ya marehemu (Tanganyika), anijuze. Pia swala zima la hao watoto, je wanapewa kiasi gani? maana kazi wanayofanya si mchezo.
 
Hizi sherehe za uhuru kwa kukadiria zimetumika zaidi ya shs tilioni 1 tsh
Naomba kila wizara watoe figure zao walizotumia
 
Wamekwisha sema kuwa ni TZS Bilioni 50, hii si habari mpya
 
Mwanzo niliambiwa siku ya leo inagharimu 50billioni
 
Mwanzo niliambiwa siku ya leo inagharimu 50billioni
 
Back
Top Bottom