Miaka 50 ya Uhuru: Ndoto iliyoahirishwa (Youtube Video): A Powerful Message

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995


Tunaposherekea miaka hamsini ya Uhuru na uwepo wetu kama taifa nina maswali machache ambayo ningependa wasikilizaji wangu wajiulize. Je tunayo sababu kweli ya kuadhimisha? Tunaadhimisha miaka kupita, tunaadhimisha mafanikio ya serikali au tunaadhimisha nini hasa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom