Je jk atatufikisha 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je jk atatufikisha 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by naninibaraka, Dec 8, 2011.

 1. naninibaraka

  naninibaraka JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Nina mashaka sana endapo JK atatufikisha 2015,changamoto za serikali na chama zinazomkabili na swala la wananchi kukosa imani naye baadhi ya mambo ambayo ni changamoto kubwa kwake,serikali kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara,migomo,miradi ya serikali kama barabara na huduma za jamii kuzorota,je tutafika?
  Je ni kweli kuwa TRA hawakusanyi mapato? Au serikali yetu imekuwa ya kufanya shopping zaidi?
  Nawasilisha
   
 2. O

  Omtata Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kuwa mvumilivu kijana
  jk ataweka mambo sawa na ww utafurahi
  subiri tumalize sherehe za UHURU
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tutafika tukiwa taabani. Inflation itakuwa imeshafikia 29%.
   
 4. I

  Imurumunyungu Senior Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama tutafika lakini cha moto tutakuwa tumekiona.Huyo ni dreva asiyo na huruma hata kidogo kwa abiria wake.Tung'oeni huyu TUMBUSI aruke zake.
   
 5. I

  Imurumunyungu Senior Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama tutafika lakini cha moto tutakuwa tumekiona.Huyo ni dreva asiyo na huruma hata kidogo kwa abiria wake.Tung'oeni huyu TUMBUSI aruke zake.
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Mhhhh cjui kama 2tatoboa.
   
 7. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kufika tutafika, ila suala hapa ni kwamba, tutafikaje hiyo 2015?
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  2015?mmh
  kama wafanyakaz wanakopwa na wabunge wana'enjoy
  nadhan kutakua na misukosuko mingi TU!
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wanawake walisema JK ni handsome wakamchagua,sasa wale sura yake
   
 10. U

  UNIQUE Senior Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ningelimshauri ajiuzuru. Hataweza kabisa dalili zi wazi
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  i see no connection between putting things the right way and the uhuru thing? please give me a break,,,JK is a failure and disgrace to this country ..Period....
   
 12. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,550
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Ahahhaa
  Huyu anazungumzia kukopwa kwa mishahara ya wafanyakazi tu, kwa hiyo tusubiri mchanganuo wa matumizi kwa hizi sherehe zao, zitakazobaki masikini wafanyakazi watalipwa Jan 28, 2012.
  Kweli tumethubutu tumewezwa na tunasonga kushoto!

  Ila kufikia 2015 lazima tuwe tumechoka!
   
Loading...