Mbunge Lekule Laizer wa Longido

karibu jukwaani mchambakwao naona umejiunga leo siku ya uhuru 09 dec na hii ni post yako ya pili.......lete vithibitisho vya haya uyaongeayo isije kuwa majungu
 
hayo mambo JF itatatuaje?? hao wanaompa ndio wanaomuendekeza, sheria za nchi hazilazimishi mtu kumchangia pesa mbuge
 
Sawa, inaonekana hawa wawindaji kuna mambo ya usiri na ufisadi wanafanya, sasa bwana laizer anawafichia kwa makubaliano na kupewa gari na kusomeshwa neema, wote hawa laizer na kampuni ya uwindaji ni wezi, lazima wachunguzwe na kushughulikiwa
 
ushahidi mkuu! usikurupuke! karibu home of griti thinker!
 
vipi ulivochunguza umegundua kama huyu Neema Kaolewa au bado?? niambie nina kang'ombe kangu kazekazee hivi nikauze nilipe mahari!!!
 
Back
Top Bottom