Kwanini JK asiwe shupavu kama Rais Sata wa Zambia na kutoa maamuzi mazito kama haya ya Sata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini JK asiwe shupavu kama Rais Sata wa Zambia na kutoa maamuzi mazito kama haya ya Sata

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RasJah, Oct 21, 2011.

 1. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  [​IMG][​IMG]
  Zambia President Michael Sata is sworn in

  BACKGROUND:
  FINANCE BANK OF ZAMBIA

  Finance Bank Zambia Limited (FBZ), commonly referred to as Finance Bank, is a commercial bank in Zambia. It is one of the 18 licensed commercial banks in the country, as of October 2010. The bank has a subsidiary, Zambia Portland Cement Limited, in which the bank maintains 100 percent shareholding. FBZ is a medium sized retail bank serving individuals and business across Zambia. As of September 2009, the bank controlled approximately $ 370 million in assets, with shareholders’ equity of about $ 416 million.

  His predecessor sold Finance Bank despite public protests. Mr. Sata had promised during campaign that he would preserve the sale. He also dissolved boards of Zambia Revenue Authority and the national pension scheme body.

  Zambia’s President Michael Sata reversed the previous government’s sale of privately-owned bank to South Africa’s FirstRand, dissolved several parastatal boards and revealed that the nation, including State House, was “stinking with corruption”.

  Speaking at State House after he swore in permanent secretaries and other senior government officials, President Sata, who was elected two weeks ago, cancelled the Rupiah Banda-administration’ sale of Zambian-owned Finance Bank of South Africa’s FirstRand for $5.4 million.

  “I have been doing a search [on] the so-called sale of Finance Bank, there isn’t even any document for sale. Therefore, I am instructing the Ministry of Finance to take the bank back to the owners of the bank immediately,” President Sata said in a verbal decree.

  The Banda-administration sold Finance Bank mid last month despite public disapproval. Mr. Sata had promised during campaign that he would reserve the sale.
  President Sata also dissolved, with immediate effect, the boards of the Zambia Revenue Authority (ZRA), state-run power utility – Zesco, the National Pension Scheme Authority (NAPSA). Before his election, he had accused the three institutions of graft.

  Before his election, he had accused the three institutions of graft. I have with immediate effect retired in national interest the person who was fraudulently employed at Zesco (the managing director Enerst Mupwaya) and reinstated the person who suffered the dismissal in a corrupt manner, comrade Cyprian Chitundu, he said.

  The President also sacked Banda-appointed police chief, Francis Kabonde, and replaced him with Dr. Martin Malama. The police have to help us sweep. So much corruption that this country stinks and that is why people cannot get what they want,” said President Sata, 74.

  Zambia is so dirty, even my own office, some of the people who are supposed to be guarding me they even benefited from corruption,” he said. He vowed to fight corruption. I don’t need any corrupt money for my campaign or for my re-election or PF re-election,” said President Sata, adding that he want his government to serve Zambians not him as an individual.

  The Zambian leader dismissed all 72 district commissioners that were appointed by the previous government, saying they were politicians, and ordered them to immediately vacate their offices and houses. We cannot have civil service positions given to political parties, he said. I have therefore fired all the district commissioners and appointed civil servant to take over from them,” said President Sata.
   

  Attached Files:

 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  That is The Person We Tanzanians and Africans Need
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kikwete hawezi kutoa maamuzi magumu kwa sababu amezoea vya bure, amepewa Urais, Phd, Suti anazovaa. Maamuzi magumu yanahitaji mwanamme mwenye upeo sio lele mama
   
 4. l

  loiluda Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni kuwa wengi anaowateua ni rafiki zake wa karibu,na ndio waliomketisha hapo ikulu,kwa mantiki kuwa walimwezesha kwa kampeni,sasa ataanzia wapi kuchukua maamuzi mazito wakat washkaji wanataka kuresha fedha zao kupiti vyeo walivyopewa?
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hebu fanya uchunguzi, kwa nini Sata ameamua kufanya hivyo. Maisha ya watu wa Zambia hivi sasa ni sawa na ya watanzania miaka ya 1990. Adha fuatilia takwimu ujue Zambia nia ya ngapi afrika kwa demokrasia na utawala wa sheria, maamuzi kama hayo ni ya nchi zenye utawala wa kiimla. Subiri uone matokeo ya utawala wake ndiyo utajua kuwa viongozi kama hao hawana nafasi katika nchi inayojali utawala wa sheria
   
 6. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Lakini kwa nini huyu JK anaweka pamba masikio yake ili asiweze kusikia maoni ya watu ni ndio yaliyomkuta Gaddafi kwa kutosikia maoni wavimba macho kuwa nchi siyo mali ya familia watu fulani au familia moja na mwisho wake yenye na familia yake wamekuwa masikini tena na mshahara wa dhambi ni mauti kwa haya hayana muda mrefu kwa TZ.
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Hivi nini cha kufuata mtu anapotaka kuhamia Zambia; mama yangu aliniambia kuwa baba yake asili yake no Zambia; sijui nifuatilie roots zangu!
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,576
  Likes Received: 1,673
  Trophy Points: 280
  Great Stinker! Haya tutafika tu!
   
 9. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Thatha ni mlopokagi.
  Mi niko huku Zambia. Sata is a true patriot. anajua shida za watu wa Zambia and it hurts him. Juzi niece wake ambae alikuwa mbunge wa Matero kapelekwa police kuhojiwa sababa ya machine 2 zakusaga. Unadhan angekuwa ni ndugu ya JK angenusa hata hiyo police?
  Amekata mawizara kutoka 23 hadi 19. angekuwa alafi kama JK angekimbilia kuongeza wizara.
  Mishahara za wafanya kazi wa serikali, mashirika makubwa, migodo imepanda hado kima cha chini kimekuwa K2,000,000 (sawa na 600,000/-).
  Mafuta yameshuka bei kwa 4.9%.
  Sasa hivi umeme and kodi wanaangalia washushe kwa kiwango gani.
  Naweza kukwambia vitu million ambavyo amefanya ndani ya mwezi mmoja maekuwa rais. Niambie JK kafanya nini baada yakukaa madarakani miaka 6?
   
 10. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kuna kitu ambacho wana CCM hawataki kusikia kinasemwa na JK ame manage kuwakwepa nacho .JK uozo wote wa madini yeye ni mdau mkubwa sana .Kuna ushahidi mwingi kwamba Barrick walimpa JK pesa za kuingia madarakani na ndiyo maana hawezi kusema lolote .Si hao tu kuna IPTL na wengineo leo tunasikia suti za bure nk .Haya yote ukisha fanya huwezi kuwa na sauti hata mara moja .Alisha tuweka rehani .
   
 11. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Asante sana kunjygroup kwakumpa facts huyu thatha ni mlopokagi.

  Kwa kweli nimefarijika na data zako alafu siku ukweli wa mambo haujifichi hata kama wewe kunjygroup usingetoa hizo facts bado magazeti yagetupa tu nondo za gud sata mbona JK pamoja na kujaribu kuficha madudu yake lakini bado facts zinavuja.
   
 12. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sasa fanya kweli mbeya wanateketea kwa sumu viongozi je huna mkono hapo!
   
 13. M

  Mkira JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Hivi karibuni tulimabia na dr Kamata or prof Shivji kuwa utawala bora ni msamiati MPYWA ULIOLETWA NA IMPERIALIST ILI WAAWEZE KUIBA KWA KUSHIRIKIANA NA VIBARAKA WAO!

  PIA LISEMA NANI ANATAKA KUTAWALIWA? NI VEMA WANGESEMA UONGOZI BORA!!

  BEWare tanzania tunahitaji kiongozi kama satta tena NOW BEFORE IT IS TOO LATE!
   
 14. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,605
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Inawezekana maamuzi yaliyofanywa na Sata ni kwa maslahi mema ya wazambia. Lakini inawezekanaje awaondoe wakuu wote wa wilaya kwa kigezo cha kushindwa kuwatumikia wananchi?
  Ina maana miongoni mwa watendaji aliowapunzisha hakuna hata mmoja aliekuwa bora?
  Hivi kwani hao alowateua ndio mwarobaini?
  Nadhani Sata kama walivyo watawala wengine ameteua rafiki zake ili kwa pamoja washirikiane kudai hicho aloichokiita kustawisha Zambia..lakini kubwa zaidi nadhani maamuzi yake yamekaa kivisasi visasi hivi..
  Muda utatueleza kila kinachojiri huko ngoja tusubiri.
   
 15. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  I think is better if you could come up with results of such investigation than asking the presenter to investigate!!
  Regardless of your negativity on Satta's Action, I personnally believe in what he did1! thats the only option to clean up the mercy in our miserable countries!!!

   
 16. B

  Bumela Senior Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  This is the reason why Michael Sata dismissed all the 72 DCs, what more do you want people to investigate?
   
 17. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,739
  Trophy Points: 280
  Kuwadi wa mafisadi utamjua tu.
   
 18. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sina JK alikuwa anataka kwenda ikulu kwani katiba yetu ya TZ imeweka immunity kwa rais wasiwe prosecuted katika hali ya aina yeyote ile ndio nae huwa nae anashiriki kujirundikia mali za nchi kama Mkapa ndio maana anapoiba anawatumia maswaiba wake ambao hawawezi kwawajibisha kwani nani atamfichia mali ni hao maswaiba. So TZ tutaendelea kuwa ktk mfumo huyu mwenzetu yahee.
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,006
  Likes Received: 2,660
  Trophy Points: 280
  Yaani mimi kwa sasa mtu yeyote anayetokea msonga siwezi kufanya naye kazi,maana najua hatutafanikiwa hata kidogo.
   
 20. B

  Baikoko Senior Member

  #20
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  JK ajaribu ya Sata? Hawezi kamwe! JK ni mtu dhaifu, mchafu, mwoga, laghai, mwizi, mnafiki, mbinafsi, mbaguzi, fisidi, mlipa visasi, asiye mwadilifu, mwongo...Uzuri JK anapenda kubembea, kusafiri, hasahau marafiki zake, anajua kuuza sura, anapenda kuchekea hata kwa wanaomzomea...
   
Loading...