pror Mihanjo Vc wa St john's na prof Kikula vc udom wanatema cheche now | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pror Mihanjo Vc wa St john's na prof Kikula vc udom wanatema cheche now

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Dec 9, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wanazuoni hawa wapo kwny ibada ya jumuiya wa wanafunzi wakristo hapa udom.na prof mihanjo ndy anatoa mada na anawaasa wasomi kutokua watumwa ndani ya nchi yao kama ilivyokuwa wakati wa ukoloni.nitaendelea kuwajuza
  0 0 0
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Tulia uandike vyema..hakuna aja ya kukurupuka,heading yako iko shaghalabaghala....na content ya thread yako the same...
   
 3. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  tatizo la omba kwa tz sababu ya matumizi ya kisasa wakati uchumi wetu ni wa kale ambao haukidhi mahitaji,na hili linaua uhuru wetu
   
 4. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Sawa mkuu,hii sm nayo2mia ina tatizo kwa alama km .,? Nk
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Kama wanaasa kutokuwa watumwa, mbona wao wanakua watumwa kwa wanasiasa tena unakuta anayemtumikisha ni mtu mwenye digrii moja. Mf kikula kufukuza wanafunzi 534 waliokuwa wakidai haki zao za msingi kenge kabisa.
   
 6. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180

  na muda mchache uliopita alitunuku PhD feki ya heshima!

  ni kukosa uthubutu wa kukataa maagizo ya yasiyo na kichwa wala miguu?? if so why should one become a professor?

  a lying professor?
   
Loading...