nyangasese
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 129
- 22
Jeuri ya pesa na kufuru ya matumizi makubwa ya mabiloni ya fedha anayotumia waziri huyu yameleta taharuki kubwa hapa Mwanza.
Kwanza jengo la magholofa mawili yaliyoungana lilopo ktk kiwanja namba7 kitalu o barabara ya Rufiji, linaweza kuwa moja kati ya majengo 5 ya thamani ktk jiji.
Pili amenunua nyumba3 karibu najengo hilo kwa sh mil 400 kila nyumba sasa anafanya maongezi na wamiliki wengine wa nyumba nyingine3 ktk mtaa wa pili unguja ili anunue na kuvunja nyumba zote6 ili kupata parking.
Ktk mtaa huo amekwaa kisiki baada ya nyumba moja ya watoto yatima kuinunua kinyemela kwa sh mil 60 kuamuliwa na mahakama kuirejesha. Hayo yote anayafanya kupitia kwa diwani mmoja wa CCM wilayani Sengerema ambaye ni mvuvi