Jumbe ndiyo lilikuwa Chaguo la Nyerere kurithi urais wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumbe ndiyo lilikuwa Chaguo la Nyerere kurithi urais wa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sr. Magdalena, Dec 7, 2011.

 1. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Aboud Jumbe ndiyo lilikuwa chaguo la Mwl Nyerere Kurithi urais wa Tanzania, na hii ilikuwa ni siri kubwa sana kabla ya Mwl. Nyerere kung'atuka madarakani - Butiku
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hii ilikuwa kabla ya siri kufichuliwa kuwa Jumbe alikuwa anaandaa katiba mpya ya Zenj.
   
 3. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Nasikia mapendekezo yalikuwa Salim, Kawawa na Jumbe lakini chaguo la Mwl. lilikuwa Jumbe..

  Sasa mkuu, mzee ruksa aliingiaje nakuchukua uskani?
   
 4. J

  JokaKuu Platinum Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,111
  Trophy Points: 280
  Jasusi,

  ..baada ya kufariki Karume, Nyerere alitumia ushawishi wake kumuweka Jumbe madarakani Zanzibar.

  ..inasemekana wanamapinduzi[14 boyz] walikuwa wanataka Col.Seif Bakari ndiyo achukue kiti cha Raisi wa SMZ.

  ..now in 1985 chaguo lilikuwa Salim Ahmed Salim, ila Mzee Mwinyi akategua "off side trick" iliyotaka kuchezwa ndani ya CCM-NEC.

  NB:

  ..tafuteni kitabu cha maisha ya Seif Sharrif Hamad. Kisa kilichotokea mpaka Mwinyi na siyo Salim akaukwaa Uraisi wa Tanzania kimeelezewa in details.
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Interesting story..

  Hayo ndio matatizo ya rais kuwekwa na mtu badala ya wananchi??
   
 6. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo mambo yakuwekana madarakani kimitandao na makundi ilianza zamani?
   
 7. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Nasikia baada ya mpango huo kukwama Mwl. Aliamua kumuachia mikoba mzee Kawawa lakini Kawawa akakataa kuwa hali yake kiafya siyo nzuri.

  Jamani wakuu wenye full data tunaomba mtupe historia hii.
   
 8. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Kumradhi tuendelee basi, FF
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hii thread hii.......:A S-coffee:
   
 10. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Miaka 50 ya UHURU
   
 11. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Aboud Jumbe took over after Karume's death and the public hoped for an end to the past. His administration was a little bit softer than that of his predecessor but being under the leadership of the Revolutionary Council, he had to adopt some hardline policies, when it mattered, at the request of his colleagues. His decade in power was characterized by too much leaning to the mainland and in 1977 he championed the union between ASP and the Tanganyika African National Union (TANU) of the mainland to form the Chama Cha Mapinduzi (CCM), a party that continue to rule until now.
  [​IMG] Aboud Jumbe Mwinyi, The Second President of Zanzibar
  On the social side, people had some freedom and could travel freely to the outer world. Jumbe also opened up mainland educational institutions for Zanzibaris wishing to pursue higher education. This move created many possibilities for Zanzibaris to go beyond the teaching career that was the only available option for many. In the past, government positions were offered to people along party lines and apart from teaching there were not many possibilites for the high school graduates. In 1979, Jumbe made history by launching the first democratic institution, the House of Representatives but members were mainly appointed instead of being elected by the people at large.

  He also opened up his administration for people, who could otherwise have been kept out if the strict revolutionary principles were followed. This move, which he later seemed to regret, was the source of his downfall. He was at odds with, the so called, the committe of fourteen who included most of the people who participated in the revolution. Their influence began to decline and their powers, at times, questioned. In an attempt to remedy the damage he droped most of these new elements in his government and made a radical move of attempting to back down from his support towards one central government for the whole of Tanzania. In 1984, he was forced to resign by the CCM's central committe and Ali Hassan Mwinyi was appointed the new President of Zanzibar.


  The government of Ali Hassan Mwinyi and his Chief Minister Seif Sharif Hamad was warmly welcomed by the public as it quickly eased down many of the problems left behind by the previous government. However, it was short lived and in 1985 Mwinyi became the President of the United Republic of Tanzania and Idris Abdul Wakil was elected the new President of Zanzibar. In that election, Wakil became the president by scoring about 60% of the votes. This was very odd under the one party system and the aftershocks of the political turmoil that followed has left an unrepairable damage to the stability of Zanzibar and Pemba islands.
   
 12. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Na mnoko aliefichua hiyo siri na kuwasaliti wazanzibari wenzke kwa kujipendekeza kwa mwal.Nyerere ili amsaidie kupata urais wa zanzibar alikua ni maalim seif shariif Hamad,baadae tuanojua hili tulikua tunamshangaa alipokua anajidai eti anataka serikali tatu ili zanzibar iwe nchi kamili,mbona mara ya kwanza aliwachongea wenzake kwamba wanataka kuvunja muungano kwa kuja na hiyo katiba mpya ambayo iltaka uwepo wa serikali tatu,;Tanganyika,Zanzibar na serikali ya shirikisho

   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  I mis some point hapa nikiangalia title ya Thread halafu unahitaji tena data kutoka kwetu! huu ni uhuni wa miaka 50 ya uhuru.
  Hebu angalia mwenyewe hii Heading yako,
  [h=2][​IMG] Siri kubwa ya Mwl. NYERERE yaanikwa[/h]
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nyerere hayupo nani atathibitisha habari hii kuwa ni kweli au si kweli
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo butiku anataka kusema Nyerere ndiye muasisi wa mambo ya mtandao? akina Jk wamejifunza kwa mwalimu wao? Je, anataka kusema Nyerere hakuwa na demkrasia katika kutafuta mrithi wake?
   
 16. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ndipo Aboud alibugi step, naikumbukwe kuwa Mwl. ndiye aliyesaidia sana huyu jamaa kukamata urais wa zenj.
   
 17. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chakujiuliza kwa nini Mzee Butiku aseme haya maneno sasa?.
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hizi allegation kwa maalim seif nazisikia sana kuna namna yeyote ya ku-prove hii kitu..kuna document yeyote au ilikuwa hearsay? tu naomba nisaidie mkuu nataka nifahamu hii story kwakuwa si mara ya kwanza kusikia kuna wazanzibar kama wawili wameshaniambia hii kitu...

  Bado siwaamini kwakuwa wote ni wana ccm na ni waunguja inawezekana wanacheza kadi ya personality attack..naombi nisaidie kama kuna mahali naweza kupata siri hii ..
   
 19. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Walikua mwinyi,salim na mzee kawawa;hawa wawili mwinyi na kawawa walikua wamewekwa kwa ajili ya bosheni tu,lakini mgombea aliekuwa anatakiwa na mwalimu offcourse alikua ni Salim,mwinyi na kawawa ilikuwa wajitoa na kumuachia salim,kawawa kwa utiifu wake kwa mwalimu kweli akatatekeleza "makubaliano" hayo ya kijinga,lakini hali haikua hivyo kwa mzee Mwinyi,wahafidhina wa mapinduzi ya zanzibar ambao waliapizana toka siku ya mapinduzi ya zanzibar kwamba mpemba hatakuja kuwa rais na kuwatawala kutokana na ushiriki mdogo na wa mashaka wa wapemba kwenye mapinduzi wakamshika masikio kijana wao mwinyi na kumuambia yule mzee wa butiana anatka kutuwekea rais mpemba....usijitoe komaa mpaka mwisho na kura zote za wajumbe wa nec toka zanzibar tutazipiga kwenye sanduku moja (la mwinyi)halafu tuone hawa wabara wakitaka kutulazimisha tunavunja muungano!kweli mwinyi akadinda nyerere akawa haaamini macho yake kimachotokea ukumbini,ndio ikabidi Salim ashauriwe kujitoa ili hali ya hewa isichafuke,na baadae nyerere akampigia pande la O.A.U SALIM Kama kumpoza!
   
 20. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #20
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Chaguo lilikuwa Salim Mwalimu hakuwa na plan B kwa kuwa hakutegemea Wajumbe wa Visiwani kumgomea chaguo lake Salim katika panic ya kushindwa kumpitisha akambeba Mwinyi.
   
Loading...