Zambi ya kujibagua kwa kuukataa utanzania na kuutukuza uzanzibar na utanganyika

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
mabadiliko ya katiba zanzibar yamechochea kwa kiasi watanzania bara kuanza harakati za kuitafuta tanganyika yao, mabadiliko hayo ilikuwa na kama message kwamba sisi wazanzibar wao watanganyika ....







 
@Sajosajo kumbe wewe kichwa usaha? kabla ya Muungano ulikuwa unajita vipi wewe ? na hapa pana ubaguzi gani kwa mzanzibar kujita Mzanzibar? wewe kuitwa Mtanganyika ni aibu au fahari kwako?

Wazanzibar katu hatuwezi kujita Watanzania Tanzania sio nchi na wala sio ilioungana na Zanzibar kama wewe unapenda kujita Mtanzania Basi kesho 9 December kuwa wamwanzo kufika uwanjani ili ukabiziwe kupandisha Bendera ya Tanzania na kuimba sana wimbo wa Tanzania Munguibariki Tanzania na uiuwe Tanganyika, na Januar 12 tunakualika Zanzibar kusherehekea uhuru wetu wa Zanzibar.
 
@ kakke uzanzibar wako unajivunia sasa hautaendelea kujivunia pasipo kuwepo kwa tanzania kwani zanzibar ikijitenga then hapo kutaibuka na wapemba na waunguja na wapemba watajivunia upemba wao.....
 
@ kakke uzanzibar wako unajivunia sasa hautaendelea kujivunia pasipo kuwepo kwa tanzania kwani zanzibar ikijitenga then hapo kutaibuka na wapemba na waunguja na wapemba watajivunia upemba wao.....

Wapemba hawajatawaliwa kwa mabavu na wa Unguja kama ilivyo Tanganyika juu ya Zanzibar. Halafu bichwa bufuru kilichounganishwa katu hakiwezi kuwa sawasawa na kisichounganishwa. Hiyo elimu uliopewa uliambiwa kuna Muungano wa Unguja na Pemba?
 
sajosajo keshazoea kuitwa Mtanzania, anaona hatazoea/haimpi kichwani kabisa kuanza kuitwa mtanganyika, huenda anatamani hata muungano ukivunjwa leo, Tanzania iendelee. Ni maoni yangu!!
 
kwa hiyo umeamua kucopy speech za julius na kupaste hapa!
Tanganyika had been silent for years. It has never been so loud in people's mouths and hearts like now. Reason is what the Zanzibaris have done alone. By and by let's break this American thing and make our own if it suits us.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom