Makinda asema ukweli

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi,

lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.
 
Yanatoka moyoni kwake au ni unafiki wakujikosha kwa watanzania? simuamini huyu Bo Kirobo wote wapo kwa ajili ya Maslai
 
Hata yeye yupo kwenye kundi la wanasiasa wanaotudanganya wananchi.Juzi ametudanganya kwamba Dodoma maisha yamepanda kwa wabunge tu.Tena yeye ndiyo kinara wa wadanganyaji.
 
Eti aliwekwa na mafisadi ili awalinde mafisadi lol! Siku zote Bi kiroboto haeleweki , hii ni kwa sababu akili zake zinafocus kuwatetea walio muweka madalakani.
 
kwani kuna ubaya au ksa gani kwa alilosema? kila alichosema ni ukweli mtupu. wametudanganya na mwisho wao ni 2015. kwa sasa tushawafahamu na hakuna namna watakayotudanganya tena. hatuwezi kuvumilia kuona wanavyoitumbua nchi ili hali sisi walipa kodi tukizidi kukondeana bila kitu.
ni muda muafaka sasa wa kufanya mabadiliko...asante mama kwa kuongea ukweli wa jinsi mnavyotudanganya na kwa kufahamu kuwa muda wenu wa kutudanganya sasa umefikia mwisho maana tumeshawashtukia.
 
Yanatoka moyoni kwake au ni unafiki wakujikosha kwa watanzania? simuamini huyu Bo Kirobo wote wapo kwa ajili ya Maslai
Nimeandika hii habari kama nilivyosikia. Kitu muhimu hapa ni kuchanganua hayo maneno yake na kuyaweka katika mtizamo halisi. Baada ya kufanya hivyo, kutokana na ufahamu wako wa hali halisi, utaona ukweli wa matamshi yake, ingawa labda yeye kimsingi alikuwa analenga kundi fulani.
 
mkuu,
tufafanulie alikuwa anongelea hoja gani ya msingi (mada) iliyopekea kutoa lawama dhidi ya wanasiasa wadanganyifu?
 
Alikuwa anaongea kwenye kuvishwa nishani kwa maraisi wastaafu kwenye sherehe za miaka 50 ya Uhuru. Sijui kwa nini aliyaema hayo katika mahali hapo na shughuli hiyo.
 
ndio maana nampendaga saana huyu mama. huwa anafyatuka tu bila kujali ni wapi aongee nini na kwa wakati gani...
 
kwani kuna ubaya au ksa gani kwa alilosema? kila alichosema ni ukweli mtupu. wametudanganya na mwisho wao ni 2015. kwa sasa tushawafahamu na hakuna namna watakayotudanganya tena. hatuwezi kuvumilia kuona wanavyoitumbua nchi ili hali sisi walipa kodi tukizidi kukondeana bila kitu.
ni muda muafaka sasa wa kufanya mabadiliko...asante mama kwa kuongea ukweli wa jinsi mnavyotudanganya na kwa kufahamu kuwa muda wenu wa kutudanganya sasa umefikia mwisho maana tumeshawashtukia.

Yule kibaraka wa rostam yule, yule kibaraka wa mafisadi, yul bi kidude anyejichekesha muda wote bungeni, yule anayeshindwa kuelewa wajibu wake bungeni, yule anayeisemea serikali wakati waziri mkuu yupo bungeni, yule anayezuia watu kuongea ukweli, yule asiye jua kuwa kila utawala una mwisho, yule anayezuia hoja za msingi zisijadiliwe, yule aliyewekeza mabasi zaidi ya 10 ktk kampuni moja ya usafirishaji. Aishie zake huko!
 
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi, lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.

Huyo mama asitudanganye kabisa, hiyo ni kauli inayo wahusu wanasiasa karibu wote wa bongo! She wants to play with our mind!
 
ndio maana nampendaga saana huyu mama. huwa anafyatuka tu bila kujali ni wapi aongee nini na kwa wakati gani...

Hivi ilkuwaje akapewa uongozi wakati hata hana mume. Mi nnachojua uongozi mkubwa kama huo inafaa apewe mtu anayejua walau kuongoza hata ktk ngazi ya famili kama ilivyo kwa rais. People of her spinster life style ni social problem wanapopewa uongozi
 
Alikuwa anaongea kwenye kuvishwa nishani kwa maraisi wastaafu kwenye sherehe za miaka 50 ya Uhuru. Sijui kwa nini aliyaema hayo katika mahali hapo na shughuli hiyo.

huenda alidhani anatoa nasaa kwa wageni wake wa kwenye speakers gallery
 
Anna Makinda said:
Alikuwa anaongea kwenye kuvishwa nishani kwa maraisi wastaafu kwenye sherehe za miaka 50 ya Uhuru. Sijui kwa nini aliyaema hayo katika mahali hapo na shughuli hiyo.
Anataka uraisi?

Anamlenga nani?

Yuko kambi gani huyu mama?

Maybe tuanzie hapo...

Kuna mchangiaji aliyepita anaelekea kudai kuwa yuko kambi ya EL...
 
It is too early kujua yuko kambi gani, maana wana CCM wengi ni bendera fuata upepo, hubadilisha misimamo kutokana na mwelekeo wa upepo.

Lakini kulingana na Pasco [member wa JF], alisema akimnukuu Rostam Aziz kwamba, Rostam Aziz ndiye aliyemmaliza Msekwa na kumpa u-Spika Anko Sam Six, na pia ndiye aliyemnyang'anya u-Spika Sam Six na kumpa Mama Makinda. To what extent hiyo connection ilivyo, mimi sina hakika. Sitta mwenyewe alishakiri ITV kwamba waliommaliza kwenye u-Spika ni mafisadi, so inawezakana kuna ukweli mkubwa.

So, kama Makinda aliwekwa hapo kwa nguvu za RA, na RA ni rafiki/mshikaji wa EL, then huyo mama atakuwa kambi ya EL. Lakini ni mapema sana, siasa ndani ya CCM sasa hivi hazieleweki, wengi wao ni vinyonga.
 
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi, lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.

Na yeye mwenyewe ni muongo na mnafiki.
 
Nimeandika hii habari kama nilivyosikia. Kitu muhimu hapa ni kuchanganua hayo maneno yake na kuyaweka katika mtizamo halisi. Baada ya kufanya hivyo, kutokana na ufahamu wako wa hali halisi, utaona ukweli wa matamshi yake, ingawa labda yeye kimsingi alikuwa analenga kundi fulani.

Ndiyo! alikuwa anajilenga yeye na kundi la mafisadi waliomuweka madrakani.
 
Back
Top Bottom