Kwanini nishani watunukiwe Ikulu badala ya uwanjani mbele ya watanzania?

marijanda

Member
Oct 27, 2010
50
4
MIMI Rais kanishangaza na kuniacha na maswali magumu
1.kutoa hotuba ambayo kaoengelea lami tu kama ndo issue kubwa lenye hadhi ya kuongelea katika kuadhimisha miaka hamsini ya uhuru???
2.ktunuku wastaafu nishani ya heshima ya mwal. Nyerere ktika viwanja vya ikulu mbele ya wateule wachache? badala ya mbele ya watanzania waliokwenda uwanjani na kupigwa na jua huku wakiambulia gwaride la kila mwaka na hotuba ya dk 15 yenye kusema issue za lami
3.kutokuwepo kwa Marais wa nchi za africa mashariki???????????????????????????
4.Wale marafiki aliokuwa nanatumia kodi zetu kuwatembelea wako wapi mbona hawakuja kumpa company????????????????

hili linatueleza nini?????????????????????????????????????
 
..Kagame,Kibaki,Museveni, hawakuhudhuria.

..je, wamenuna kwasababu hatukutia saini kuunganisha ardhi ya Tanzania kweye jumuiya ya afrika mashariki?
 
Nishani hizo ni kitu ambacho wanajua ni kibaya mbele ya spiriti ya Mwl. Kwa kuwa aliaga pale ikulu wanajua spiriti hiyo haigefika pale na kuchukizwa na mno
 
Utoaji wa hizi nishani haukuwa na objectivity bali uligubikwa na utashi wa mkweree pamoja na wapambe wake! Kwa wale wanaoijua historia ya chi hii ,haingii akilini leo umtunuku nishani kwa kulitumikia Taifa Pius msekwa na Anna Makinda halafu ukawaacha wazee wa busara kama ENOS Mwangoka kutoka Mbeya, Budodi kutoka Mwanza, Kaaya kutoka Arusha. Halafu cha kushangaza pia Wakuu wa majeshi wote wametunukiwa nishani including Mwamunyange lakini Mboma sikuona jina lake; pengine kwa vile anatoka mkoa wa Mbeya na kama mjuavyo Kiwete is allergic to Mbeya region and its poupulation isipokuwa Mwamunyange!!
 
Back
Top Bottom